*UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...
![](https://1.bp.blogspot.com/-HIKmUCklk6o/Xr_QSfRgjPI/AAAAAAABMG8/dod9Nc2LdG0wDDKb8ZyTCMyH5XAmU5YiwCLcBGAsYHQ/s72-c/95592766_1412722222246096_946711719474888704_n.jpg)
..._"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)__"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P).__"Kile unahokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae yako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)__"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Ukiwa na haraka Mbweni JKT jiandae kupiga mbizi
UPIGE mbizi. Ndivyo unavyoweza kusema msemo huu kama unahitaji kupita haraka haraka katika eneo la Mbweni JKT, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, mahala panapojengwa daraja la kuvukia watu kwa miaka mitatu sasa, halina dalili za kukamilika hivi karibuni.
Ni eneo tata. Ni eneo linalokera na kusumbua watu mno. Mbaya zaidi, ni eneo lililozunguukwa na majumba ya watu wenye ukwasi au ukubwa wa majina ya viongozi waliojenga katika eneo hilo. Eneo linalojengwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4XW-Es953cXqfrbjFWvzA0sSSSlaqB4UpYxl1eTyZ9XiKNlwSvGUvu6AS71fuUG1L7emIesexBCvLN6lrBUbKVV/HY23FREEMASONRY01_1495459f.jpg?width=650)
HIZI NDIZO TABIA ZA FREEMASONS
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Acha tabia hizi unapotumia vifaa vya mawasiliano
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha
Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine… sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji Ni rahisi kuwaamini Wako […]
The post Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha appeared first on...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjFvi89hhRwJtALsmTadBkq*FqVD*sJ7*g7v1gHqbErTmT*fFFShiSW-55aeNuYXE2khhTzBqYlUxV-LN*xO2Z-/mahaba.jpg?width=650)
UKILAZIMISHA SANA PENZI JIANDAE KUTESEKA!