Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI KWA FLORA, NAMSHANGAA SANA MBASHA!

MWIMBAJI wa muziki wa Injili nchini, Emmanuel Mbasha ameshinda kesi yake ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili, aliyotuhumiwa kumfanyia kitendo hicho msichana aliyekuwa akiwasaidia kazi za ndani ya nyumba yake na aliyekuwa mkewe, Flora Mbasha. Emmanuel Mbasha alidaiwa kufanya kitendo hicho mara mbili kwa msichana huyo, kitu ambacho ni kinyume cha sheria za nchi. Hata hivyo, baada ya takriban mwaka mmoja na ushee, wa kusikiliza pande...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’

Ndoa ya Flora Mbasha na mume wake Emmanuel Mbasha bado ipo hai baada ya wawili hao kukubali kuifuta kesi ya talaka iliyodumu kwa takriban mwaka mmoja. Flora ndiye aliyefungua kesi hiyo baada ya kutokea mgogoro kwenye ndoa yao iliyosababishwa na kesi ya kudaiwa kubaka aliyoshtakiwa mumewe. Hata hivyo Emmanuel hivi karibuni alikuwa mtu huru baada […]

 

9 years ago

GPL

ESMA: NAMSHANGAA SANA DIAMOND!

Dada wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma . Brighton Masalu
DADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki dhidi ya baba yake mzazi, mzee Abdul Jumaa.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu hivi karibuni, Esma alisema siku zote si vyema kukaa na kinyongo au chuki dhidi ya wazazi na hata kama ikitokea...

 

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji. Taarifa zilizopatikana  ndani  ya  jeshi hilo...

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

11 years ago

GPL

MUME WA FLORA MBASHA KIZIMBANI KWA KESI YA UBAKAJI

Emmanuel Mbasha (kulia) akiwa na mkewe Flora Mbasha. MUME wa mwimbaji Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo ya ubakaji. Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwimbaji alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi, Wilberforce Luago. Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mawili...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA AVAMIWA

Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...

 

11 years ago

GPL

MBASHA, FLORA WAPATANA

Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia. Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani