ESMA: NAMSHANGAA SANA DIAMOND!
![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60evvVS5cbJH0aW8v7KSlJdCwXw45WzIz1AQShsxFfzgaZJsAnlPn-FBqWiE0ui8AOAY5rZ4x-5d885IiXfieujVY/esma.jpg?width=650)
Dada wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma . Brighton Masalu DADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki dhidi ya baba yake mzazi, mzee Abdul Jumaa.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu hivi karibuni, Esma alisema siku zote si vyema kukaa na kinyongo au chuki dhidi ya wazazi na hata kama ikitokea...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyXvtgMf7OBPKg1f4tqwShstSnU0MIxpV0W5gVFjmxWrxd9N*bEuK7uqLBTLyNuMe3dkjWo65Tk0jKrUlSZ6-UYQ/MAMAWEMA.jpg)
PENZI KWA FLORA, NAMSHANGAA SANA MBASHA!
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
EXCLUSIVE Gossip: “Dada wa Diamond Platnumz, Esma afunguka juu ya manyanyaso ya #teamWema mtandaoni
Esma mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu #teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu ya shughuli zake za muziki.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Kuna misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma...
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Aita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Amuita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Jaji Warioba: Namshangaa Sitta
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yWZhO6eJxBU/VDK7I2t8NtI/AAAAAAABKbY/RL7osJr_-ZQ/s72-c/2.jpg)
uzinduzi wa album John Lisu wafana sana Diamond jubilee hall
![](http://2.bp.blogspot.com/-yWZhO6eJxBU/VDK7I2t8NtI/AAAAAAABKbY/RL7osJr_-ZQ/s1600/2.jpg)