JOHARI: SIJAFULIA KISANAA

Brighton masalu BLANDINA William Wilbert Chagula ‘Johari,’ amesema kwa sasa amedhamiria kufanya kazi mara kwa mara tofauti na zamani ambapo alikuwa ‘akibeep’, huku akiweka wazi kuwa waliodhani ameisha kisanii wakae mkao wa kula kwani alikuwa akiusoma mchezo. Staa wa filamu za kibongo, Blandina Chagula ‘Johari,’. Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kiruka njia’ wa gazeti hili,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
GPL
NISHA: SIJAFULIA JAMANI
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Uwoya: Sijafulia jamani
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI maarufu wa bongo, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
“Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.
10 years ago
Bongo Movies28 Jan
Wastara:Nimeshuka Kisanaa!!
Mwigizaji wa filamu nchini, Wastara Juma amesema anajihisi kupoteza mwelekeo unaomfanya kushuka kisanaa tokea kufariki kwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwani ari yake ya kufanya kazi imepotea.
Akipiga stori na wa GPL hivi karibuni, alisema Sajuki alikuwa ni msaada mkubwa sana kwake kisanaa mbali na maisha ya kawaida, kwani anashindwa kupita njia alizokuwa anapitishwa na mumewe huyo kiasi cha kujikuta akitoa filamu kati ya mbili hadi tatu kwa mwaka.
“Nikiri tu kwamba nimeshuka kisanaa,...
11 years ago
GPL
MAYA: SIJAPOTEZWA KISANAA
10 years ago
GPL
WASTARA AKIRI KUSHUKA KISANAA
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Ufundi wa kisanaa katika alenga wapya
11 years ago
Mwananchi12 Oct
Bado nipo kisanaa, siasa ilinificha kwenye uigizaji
11 years ago
GPL
JOHARI