Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA AKIRI KUSHUKA KISANAA

Stori: Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
STAA wa filamu nchini, Wastara Juma amesema anajihisi kupoteza mwelekeo unaomfanya kushuka kisanaa tokea kufariki kwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwani ari yake ya kufanya kazi imepotea. Staa wa filamu nchini, Wastara Juma. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, alisema Sajuki alikuwa ni msaada mkubwa sana kwake kisanaa mbali na maisha ya kawaida, kwani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wastara:Nimeshuka Kisanaa!!

Mwigizaji wa filamu nchini, Wastara Juma amesema anajihisi kupoteza mwelekeo unaomfanya kushuka kisanaa tokea kufariki kwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwani ari yake ya kufanya kazi imepotea.

Akipiga stori na wa GPL hivi karibuni, alisema Sajuki alikuwa ni msaada mkubwa sana kwake kisanaa mbali na maisha ya kawaida, kwani anashindwa kupita njia alizokuwa anapitishwa na mumewe huyo kiasi cha kujikuta akitoa filamu kati ya mbili hadi tatu kwa mwaka.

“Nikiri tu kwamba nimeshuka kisanaa,...

 

10 years ago

GPL

JOHARI: SIJAFULIA KISANAA

Brighton masalu
BLANDINA William Wilbert Chagula ‘Johari,’ amesema kwa sasa amedhamiria kufanya kazi mara kwa mara tofauti na zamani ambapo alikuwa ‘akibeep’, huku akiweka wazi kuwa waliodhani ameisha kisanii wakae mkao wa kula kwani alikuwa akiusoma mchezo. Staa wa filamu za kibongo, Blandina Chagula ‘Johari,’. Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kiruka njia’ wa gazeti hili,...

 

11 years ago

GPL

MAYA: SIJAPOTEZWA KISANAA

Stori: Gladness Mallya Mnanikosea! mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa watu wanaomsema kuwa amepotezwa kisanaa wanamkosea kwani anafanya sanaa kwa malengo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Maya alitoa kauli hiyo wikiendi iliyopita baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni kuwa amepotezwa kisanaa na wasanii chipukizi kiasi cha kumfanya asisikike kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufundi wa kisanaa katika alenga wapya

Fani ni ufundi wa kisanaa anaotumia mwandishi katika kuumba kazi yake. Fani hujumuisha muundo, mtindo, mandhari, matumizi ya lugha na vipengele vingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Bado nipo kisanaa, siasa ilinificha kwenye uigizaji

Mwanzoni mwa miaka ya 2000 sanaa ya uigizaji nchini ilionekana kuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania kutokana na vipaji mbalimbali vilivyoonekana kupitia vipindi vya runinga.

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya umeme kushuka

SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya mafuta kushuka

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.

 

10 years ago

Habarileo

Umeme kushuka bei

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneBAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani