Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA: SIJAFULIA JAMANI

Na Chande Abdallah BAADA ya saluni yake iliyopo Sinza jijini Dar kufungwa huku uvumi wa kudaiwa kufulia ukimuandama, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa uvumi huo hauna ukweli. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema biashara yake ya saluni ipo kama kawaida ila ameihamishia maeneo ya Chuo Kikuu - Mlimani kwa kuwa eneo la awali halikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Uwoya: Sijafulia jamani

irene-uwoyaNA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI maarufu wa bongo, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
“Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

GPL

JOHARI: SIJAFULIA KISANAA

Brighton masalu
BLANDINA William Wilbert Chagula ‘Johari,’ amesema kwa sasa amedhamiria kufanya kazi mara kwa mara tofauti na zamani ambapo alikuwa ‘akibeep’, huku akiweka wazi kuwa waliodhani ameisha kisanii wakae mkao wa kula kwani alikuwa akiusoma mchezo. Staa wa filamu za kibongo, Blandina Chagula ‘Johari,’. Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kiruka njia’ wa gazeti hili,...

 

11 years ago

GPL

NATESEKA JAMANI!

Na Jelard Lucas na Makongoro Oging’
KIJANA Haruni Kayombo (19), mkazi wa Mbalizi, Mbeya anaishi kwa mateso makubwa tangu mwaka 2006, baada kushikwa na ugonjwa wa ajabu uliomuanza ghafla. Haruni Kayombo. Katika mahojiano na gazeti hili akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, Kayombo alisema bado hajui hatima ya maisha yake kutokana na mateso anayoyapata usiku na mchana huku akitoa simulizi ya...

 

10 years ago

GPL

LULU: NIHURUMIENI JAMANI!

Na Sifael Paul
Moyo unauma! Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Damiano Mtokambali Komba (61), staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth...

 

11 years ago

GPL

JAMANI NAKUFA, NIOKOENI

Stori: Imelda Mtema, Bagamoyo
WANASEMA ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli! Ngaweje Said (39), mkazi wa Kijiji cha Zinga, Bagamoyo, Pwani anateseka na gonjwa asilolijua ambapo nyama kubwa imeota toka juu ya uso upande wa kushoto na kumwagikia kifuani, Uwazi lilikutana naye uso kwa uso. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake kijijini hapo juzi, Ngaweje alisema:
“Ugonjwa huu ulinianza nilipozaliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Jamani! Kuna mengi Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umeibuka na mambo mengi likiwamo la kutaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) liweke hadharani ripoti ya kamisaa wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati yao na Ruvu Shooting.

 

10 years ago

GPL

FLORA: KUZAA RAHA JAMANI!

Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’. Stori:Chande Abdallah
Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashinikiza wasanii wenzake wa kike kuzaa mapema huku akiwataka kuingia kwenye hatua ya kuitwa mama na kusema kuzaa kuna raha yake. Akizungumza na mwandishi wetu, Flora alisema baadhi ya mastaa wamekuwa na dhana potofu kwamba, ukizaa unazeeka na utakuwa hufanyi starehe, jambo ambalo...

 

11 years ago

GPL

KITALE: TUMCHANGIENI MAPEMBA JAMANI!

Stori: Chande Abdallah
MSANII wa Komedi Bongo, Musa Yusuph ‘Kitale’ amewahamasisha wasanii wenzake kujiunga pamoja kumchangia msanii mwenzao, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ ambaye hivi karibuni ameripotiwa kuwa hoi akiuguza maradhi ya ini yaliyopelekea kujawa na sumu mwilini. 1“Pamoja na michango ya mtu mmojammoja, wanakomedi tumejiandaa kurekodi muvi kisha mauzo yote yatumike kumtibia mwenzetu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani