Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamani! Kuna mengi Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umeibuka na mambo mengi likiwamo la kutaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) liweke hadharani ripoti ya kamisaa wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati yao na Ruvu Shooting.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuna mengi ya kujifunza uchaguzi Zambia

Ndugu wasomaji wangu, leo naanza kuandika makala hii nikiwa jijini Lusaka nchini Zambia kama mwangalizi wa kimataifa ambaye nilikuja kuangalia uchaguzi wa Rais wa Zambia. Nilipata nafasi kama hii mwaka 2011 kuangalia Uchaguzi Mkuu ambao ulimpeleka Ikulu Michael Chilufya Satta kwa jina maarufu Cobra wa chama cha Patriotic Front (PF).

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna mengi ya kujikumbusha tukielekea kwenye uchaguzi

Kwa kipindi cha mwaka mzima nimekuwa nikiandika makala juu ya uchaguzi mkuu. Nimeandika pia miaka ya nyuma uchaguzi wa 1995, 2000, 2005 na 2010.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbona Kenya kuna makundi haramu mengi?

Polisi wanasema Kenya kuna makundi haramu zaidi ya 40 lakini makundi hao wanadai wanapigania haki.

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro ataka mabao mengi Yanga

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo

Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.

 

10 years ago

CloudsFM

Manji Atangaza Kuwa Atajiuzulu yanga iwapo Aliyosema Mengi yatakuwa ni Kweli

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amesema atajiuzulu wadhifa wa uenyekiti iwapo itabainika kuwa kweli yeye ni fisadi, mwizi na muongo kama ambavyo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amekuwa akisukuma mashambulizi dhidi yake.

Manji amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga, jana na kueleza hayo huku akisisitiza kumtaka Mengi ajitokeze na wakutane kwa ajili ya kufanya mdahalo wa wazi ambao utadhibitisha kuhusiana na tuhuma hizo.

Alisema kuendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO ALIKIELEZA MANJI NA KUTISHIA KUJIUZULU UENYEKITI YANGA SABABU YA UFISADI KAMA MENGI ATATHIBITISHA


KATIKA PITAPITA, TUMEPATA BARUA YA MWENYEKITI WA YANGA KUPITIA MTANDAO WA www.manjivsmengi.com IKIELEZA MAMBO MENGI NA MWALIKO WA MDAHALO AMBAO MANJI AMEUTOA KWA MENGI.MDAHALO HUO UNAFANYIKA IJUMAA HII NA UTARUSHWA MOJA KWA MOJA NA TBC KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA 1 USIKU. SOMA BARUA HIYO.
Hisia za Bwana Mengi kwenye vyombo vya habari kuwa kampuni yangu inamiliki fedha za serikali chini ya Commodity Import Support (CIS)

Mengi ametupa lawama akizishutumu kampuni kama Farm Equip, Apollo Tires,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani