Cannavaro ataka mabao mengi Yanga
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo
Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo
Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi
Dylan Kerr, ni mtu aliyekabidhiwa mikoba na jukumu zito la kuinoa Simba akirithi mikoba ya Goran Kopunovic, raia wa Serbia aliyeiongoza msimu uliopita, ambako timu hiyo ilimaliza kwenye nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga na Azam.
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Cannavaro arejea Yanga
Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Cannavaro aomba Watanzania kuiombea Yanga
Nadir Haroub “Cannavaro†amewaomba Watanzania kuiombea timu yake ishinde mechi ya marudiano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
10 years ago
GPLYondani, Cannavaro watupwa nje Yanga
Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Mengi ataka wanawake kujiamini
MWENYEKITI wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Reginald Mengi, amewataka wanawake kujiamini na kutambua kuwa wanaweza kuleta mabadiliko katika nchi hasa ya kiuchumi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika...
11 years ago
GPLMatajiri wanunua mabao ya Yanga
Lucy Mgina na Martha Mboma
WANACHAMA wa Yanga Family wameahidi kununua kila bao litakalofungwa kwenye mechi ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly itakayopigwa Jumamosi ya wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga ilifanikiwa kuingia raundi ya kwanza ya michuano hiyo baada ya kuitoa Komorozine ya Comoro kwa jumla ya mabao 12-2. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo kilisema kuwa kundi la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania