Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo

Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro ataka mabao mengi Yanga

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA, NDANDA ZATOKA SULUHU UWANJA WA TAIFA LEO

 Beki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda. Nadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake. Dan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa...

 

10 years ago

Michuzi

Yanga yashindwa kufutukuta mbele ya Ndanda,zatoka suluhu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar leo

 Mshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda,Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji wa timu ya Ndanda,Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka Beki wa Yanga,Oscar Joshua mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

 

10 years ago

GPL

Okwi awashukuru... Yanga kwa mabao matatu

Mhambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
MSHAMBULIAJI nyota wa Simba, Emmanuel Okwi, amesema sare mfululizo ziliwafanya yeye na wenzake kukosa usingizi kila kabla na baada ya mechi.Lakini amewashukuru mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanamzomea kuwa wamemsaidia kucheza kwa juhudi zaidi na kufanikiwa kufunga mabao matatu katika mechi saba za Ligi Kuu Bara. Okwi ndiye alifunga bao pekee wakati Simba...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi

Dylan Kerr, ni mtu aliyekabidhiwa mikoba na jukumu zito la kuinoa Simba akirithi mikoba ya Goran Kopunovic, raia wa Serbia aliyeiongoza msimu uliopita, ambako timu hiyo ilimaliza kwenye nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga na Azam.

 

5 years ago

CCM Blog

YANGA KIDEDEA UWANJA WA TAIFA KWA KUICHAPA MABAO FC 2-0

  Yanga imefanikiwa kunyakua pointi tatu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yalifungwa na David Molinga dakika ya 28 kwa mkwaju wa penati na jingine likifungwa na Patrick Sibomana dakika ya 82.

FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka kocha England

>Pamoja na makocha wengi kujitokeza kuwania nafasi ya kuinoa Yanga, uongozi wa klabu hiyo umeelekeza nguvu zao Uingereza kwa ajili ya kurithi mikoba ya kocha Mholanzi, Ernie Brandts.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani