Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo
Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo
Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Cannavaro ataka mabao mengi Yanga
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.
5 years ago
Michuzi
TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi
Dylan Kerr, ni mtu aliyekabidhiwa mikoba na jukumu zito la kuinoa Simba akirithi mikoba ya Goran Kopunovic, raia wa Serbia aliyeiongoza msimu uliopita, ambako timu hiyo ilimaliza kwenye nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga na Azam.
10 years ago
Vijimambo13 Sep
YANGA YAANZA KUKAA KILELENI BAADA YA USHINDI WA 2 BILA MAJIBU UWANJA WA TAIFA LEO

Donald Ngoma akishangilia goli lake kwa kumkumbatia kocha mkuu wa timu ya Yanga Hans van der Pluijm

Mabingwa watete wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga SC leo imefanikiwa kuanza vyema kuutetea ubingwa wake kwa kuibuka na ushindi wa oli 2-0 mbele ya Coastal Union ya jijini Tanga kwenye mchezo pekee wa ligi uliopigwa leo jioni kunako dimba la Taifa.
Goli la...
10 years ago
MichuziTimu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika
Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora nchini Marekani imeifunga bao jirani zake timu ya Tanganyika USA bao 7-1.
Kikosi cha timu ya Tanganyika
Tanganyika na Zanzibar kama ishara ya Muungano
11 years ago
GPL
Matajiri wanunua mabao ya Yanga
Lucy Mgina na Martha Mboma
WANACHAMA wa Yanga Family wameahidi kununua kila bao litakalofungwa kwenye mechi ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly itakayopigwa Jumamosi ya wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga ilifanikiwa kuingia raundi ya kwanza ya michuano hiyo baada ya kuitoa Komorozine ya Comoro kwa jumla ya mabao 12-2. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo kilisema kuwa kundi la...
11 years ago
GPLCoutinho atupia mabao mawili Yanga
Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazil, Coutinho (7) akipasha na wenzake.
Na Wilbert Molandi
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, ameonyesha upinzani mkubwa wa kupachika mabao kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Jerry Tegete.
Upinzani mkubwa baina ya wawili hao ulitokea katika mazoezi ya jana jioni kwenye Uwanja wa Chuo cha Bandari, Temeke jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya kwanza timu hiyo kuanza mazoezi ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania