Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi

Dylan Kerr, ni mtu aliyekabidhiwa mikoba na jukumu zito la kuinoa Simba akirithi mikoba ya Goran Kopunovic, raia wa Serbia aliyeiongoza msimu uliopita, ambako timu hiyo ilimaliza kwenye nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga na Azam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kocha Simba akoshwa na mabao ya Ajibu

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amempongeza mfungaji wa mabao matatu kwenye mechi dhidi ya Majimaji, Ibrahim Ajibu na kumpa neno mshambuliaji huyo chipukizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta aja na ‘falsafa’ ya chura

Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amechaguliwa kwa kishindo kuliongoza Bunge Maalumu la Katiba, huku akisema kuchaguliwa kwake ni sawa na kumrudisha chura kwenye dimbwi la maji.

 

11 years ago

GPL

Logarusic aja na mabao...

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Wilbert Molandi
KATIKA kuhakikisha timu yake inafunga mabao mengi katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekuja na mbinu mpya kwenye kikosi chake.Kocha huyo ambaye raia wa Croatia, alianza kutoa mbinu hizo juzi Alhamisi kwenye mazoezi yake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Ununio, Boko jijini Dar es Salaam. Kwenye mazoezi hayo, kocha huyo aliwapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro ataka mabao mengi Yanga

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewataka wachezaji wenzake kuhakikisha wanafunga mabao mengi na kutoruhusu bao katika kila mechi watakayocheza kama wana nia ya kuipokonya ubingwa Azam FC.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo

Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.

 

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI

"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA NA YANGA MPIRA UMEKWISHA MABAO NI 0-0

Mprira umekwisha si Simba wala Yanga aliyeona mlango wa mwenzake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani