Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic aja na mabao...

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Wilbert Molandi
KATIKA kuhakikisha timu yake inafunga mabao mengi katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekuja na mbinu mpya kwenye kikosi chake.Kocha huyo ambaye raia wa Croatia, alianza kutoa mbinu hizo juzi Alhamisi kwenye mazoezi yake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Ununio, Boko jijini Dar es Salaam. Kwenye mazoezi hayo, kocha huyo aliwapa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi

Dylan Kerr, ni mtu aliyekabidhiwa mikoba na jukumu zito la kuinoa Simba akirithi mikoba ya Goran Kopunovic, raia wa Serbia aliyeiongoza msimu uliopita, ambako timu hiyo ilimaliza kwenye nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga na Azam.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage amtetea Logarusic

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kocha wa timu hiyo, Zdravko Logarusic aliwasaidia wachezaji wake kupata mabao mawili ingawa hayakusaidia kuepuka kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu katika mechi iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic: Wachezaji ‘mbumbumbu’

>Kocha wa Simba, Zravok Logarusic amesema wachezaji wengi Tanzania, hawana elimu ya mpira, lakini ni wepesi wa kulewa sifa kwa kujiona ‘masupa staa’.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic ampumzisha Mapunda

Kocha wa Simba, Zdravco Logarusic amesisitiza kwamba Ivo Mapunda bado ni chaguo lake la kwanza, ila aliamua tu kumpumzisha katika mechi ya Ligi Kuu bara dhidi ya Mbeya City.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusker FC yamkuna Logarusic

KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, juzi usiku alitinga kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa na kushuhudia mchezo mkali wa Kombe la Mapinduzi uliokuwa ukichezwa kati ya Azam FC...

 

11 years ago

Mwananchi

Humud amtega Logarusic

Kiungo mkabaji wa Simba, Abdullahim Humud amesema kuwa ipo siku ataaminika na kukubalika na kupewa nafasi kwenye kikosi cha kwanza Mcroatia, Zdravko Logarusic.

 

11 years ago

Mwananchi

Kibadeni amfunika Logarusic

Kocha Mkuu wa Simba,  Zdavko Logarusic ‘Loga’  ametimiza mechi 10 za Ligi Kuu Bara akiwa amekusanya pointi 12  lakini amezidiwa na Abdalah Kibadeni, ambaye aliinoa na timu  hiyo kwenye mzunguko wa kwanza kwani alikusanya pointi 20 katika idadi hiyo ya mechi.

 

11 years ago

TheCitizen

Logarusic speaks out on departure

Simba SC head coach Zdravko Logarusic has confirmed that he will not extend his stay at the Msimbazi Street giants at the end of the Vodacom Premier League season.

 

11 years ago

GPL

TFF yamshtaki Logarusic

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeiagiza Bodi ya Ligi Kuu Bara kumshughulikia Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic kutokana na tabia yake ya kukataa kuzungumza na waandishi wa habari mara baada ya mechi za timu yake. Katika siku za hivi karibuni, Logarusic amekuwa akikataa kuingia katika chumba maalum cha mahojiano na waandishi wa habari kama ambavyo taratibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani