Logarusic ampumzisha Mapunda
Kocha wa Simba, Zdravco Logarusic amesisitiza kwamba Ivo Mapunda bado ni chaguo lake la kwanza, ila aliamua tu kumpumzisha katika mechi ya Ligi Kuu bara dhidi ya Mbeya City.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Logarusic amrejesha Kenya Ivo Mapunda
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Mapunda: Kutemwa Stars kawaida
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, amesema kitendo cha kuachwa katika kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinachojiwinda na mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi ‘Intamba Murugamba’ itakayochezwa Aprili 26,...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ivo Mapunda amfagilia Aveva
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mapunda akubali kuilipa Simba
KIPA Ivo Mapunda amesema atarudisha fedha za Simba lakini anahitaji apewe muda.
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.
Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.
“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.
“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Mapunda apania makubwa Ligi Kuu
KIPA namba moja wa timu ya taifa, ‘Taifa Stars’ na klabu ya Simba, Ivo Mapunda, amesema atahakikisha analinda lango lake ipasavyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ili timu yake...
10 years ago
TheCitizen12 Mar
Mapunda feted after stunning performance against Yanga
11 years ago
GPLTaulo la Ivo Mapunda marufuku golini