Mapunda apania makubwa Ligi Kuu
KIPA namba moja wa timu ya taifa, ‘Taifa Stars’ na klabu ya Simba, Ivo Mapunda, amesema atahakikisha analinda lango lake ipasavyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ili timu yake...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMKURUGENIZ WA JIJI LA ARUSHA APANIA KUIREJESHA TIMU YA AFC LIGI KUU
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha apania kuirejesha timu ya AFC ligi kuu
Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi (mwenye suti nyeusi).
Na Woinde Shizza,Arusha
Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi amepania kuipandisha ligi timu ya Arusha FC inayoshiriki ligi daraja la pili msimu huu, huku akiwataka viongozi wa sasa wa timu hiyo kuwa kama kamati na jiji hilo kuhakikisha swala hilo linafanikiwa.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, mapema ofisini kwake alisema kuwa kwa kuwa tayari usajili umekwisha fanyika kwa sasa wanatafuta kocha mwenye ujuzi na...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Tunatarajia makubwa Ligi Kuu msimu wa 2014/15
10 years ago
Michuzi07 Sep
COASTAL UNION YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI TANGA IKITOKEA PEMBA ILIKOWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU
Askari wa usalama barabarani akiongoza msururu wa mashabiki wa Coastal Union ilipowasili jijini Tanga ikitokea Pemba ilikoweka kambi ya mwezi mzima kujiandaa na ligi kuu ya VODACOM
Mashabiki wa Tanga wakiipokea timu yao ya Coastal UnionMKUU wa wilaya ya Tanga, Mhe Halima Dendego leo ameongoza mapokezi ya timu ya Coastal Union yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ndege jijini Tanga ambapo timu hiyo ilikuwa ikitokea Visiwani Pemba ilipokuwa imeweka kambi kwa muda wa mwezi mzima.Akizungumza wakati wa...
9 years ago
Habarileo21 Sep
Lowassa apania makubwa
MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema anayebeba pia jahazi la vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa ameahidi kushughulikia kero za wananchi kwa haraka pindi akiingia madarakani.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Mwambusi apania makubwa msimu ujao
KOCHA mkuu wa klabu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, amesema anajipanga kufanya maajabu msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kushika moja kati ya nafasi mbili za juu. Mbeya...
11 years ago
MichuziMusley Al Rawahi apania kufanya mambo makubwa Simba
9 years ago
MichuziWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...