Musley Al Rawahi apania kufanya mambo makubwa Simba
.jpg)
Musley Al Rawahi akisisitiza jambo.Mjumbe mpya wa kamati ya utendaji wa klabu ya Simba, Musley Al Rawahi, amesema kuwa silaha kubwa ya kufikia maendeleo katika klabu hiyo ni umoja na kufanya kazi kwa kujituma na uadilifu mkubwa.Musley ambaye mwaka jana alimzawadia gari kiungo wa Simba SC, Ramadhani “Messi” Singano kwa kucheza vizuri katika ligi kuu ya Tanzania Bara, alisema hayo mara baada ya kutangazwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo na pia kuwa miongozi mwa wajumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen08 Jul
Musley: We are facing uphill task to restore simba status
10 years ago
Habarileo21 Sep
Lowassa apania makubwa
MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema anayebeba pia jahazi la vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa ameahidi kushughulikia kero za wananchi kwa haraka pindi akiingia madarakani.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Mapunda apania makubwa Ligi Kuu
KIPA namba moja wa timu ya taifa, ‘Taifa Stars’ na klabu ya Simba, Ivo Mapunda, amesema atahakikisha analinda lango lake ipasavyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ili timu yake...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Mwambusi apania makubwa msimu ujao
KOCHA mkuu wa klabu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, amesema anajipanga kufanya maajabu msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kushika moja kati ya nafasi mbili za juu. Mbeya...
11 years ago
Mwananchi10 Jul
JK: January anataka mambo makubwa
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Mawaziri waahidi mambo makubwa
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Kayala ajipanga kufanya makubwa
MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...
11 years ago
GPL
Mbelgiji aahidi kufanya makubwa Yanga
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Miyeyusho: Natamani kufanya makubwa 2014
BONDIA Francis Miyeyusho wa Tanzania, alitangaza nia yake ya kuzichapa na Mkenya David Charanga. Ni katika pambano ambalo lilikuwa chini ya uratibu wake kwa lengo la kutimiza programu alizojiwekea kwa...