Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENIZ WA JIJI LA ARUSHA APANIA KUIREJESHA TIMU YA AFC LIGI KUU

Mkurugenzi wa jiji la Arusha , Juma Iddi (mwenye suti nyeusi). Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi amepania kuipandisha ligi timu ya Arusha FC inayoshiriki ligi daraja la pili msimu huu, huku akiwataka viongozi wa sasa wa timu hiyo kuwa kama kamati na jiji hilo kuhakikisha swala hilo linafanikiwa.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, mapema ofisini kwake alisema kuwa kwa kuwa tayari usajili
umekwisha fanyika kwa sasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha apania kuirejesha timu ya AFC ligi kuu

juma iddi

Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi (mwenye suti nyeusi).        

Na Woinde Shizza,Arusha

Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi amepania kuipandisha ligi timu ya Arusha FC inayoshiriki ligi daraja la pili msimu huu, huku akiwataka viongozi wa sasa wa timu hiyo kuwa kama kamati na jiji hilo kuhakikisha swala hilo linafanikiwa.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, mapema ofisini kwake alisema kuwa kwa kuwa tayari usajili umekwisha fanyika kwa sasa wanatafuta kocha mwenye ujuzi na...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AFC yaanza safari kurejea Ligi Kuu

TIMU ya AFC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Arusha baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi Laibon ya Longido kwa mabao 9-1 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapunda apania makubwa Ligi Kuu

KIPA namba moja wa timu ya taifa, ‘Taifa Stars’ na klabu ya Simba, Ivo Mapunda, amesema atahakikisha analinda lango lake ipasavyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ili timu yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Timu tano zawania Ligi Kuu

Wakati Polisi Morogoro ikiwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu msimu wa 2014/2015, timu nyingine tano za ligi daraja la kwanza zinachuana kuwania nafasi mbili zilizobakia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timu Ligi Kuu zimsikilize Mayanga

KOCHA Msadizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kutumia mji wa Tukuyu kama sehemu ya mazoezi ya kujiandaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Timu zilizopanda Ligi Kuu zijipange

Nazipongeza African Sport ya Tanga, Mwadui ya Shinyanga, Toto Africa ya Mwanza na Majimaji ya Songea kwa kupanda daraja na kuingia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

 

10 years ago

Mwananchi

Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani