Sitta aja na ‘falsafa’ ya chura
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amechaguliwa kwa kishindo kuliongoza Bunge Maalumu la Katiba, huku akisema kuchaguliwa kwake ni sawa na kumrudisha chura kwenye dimbwi la maji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Kocha Simba aja na falsafa ya mabao mengi
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Je, umewahi kula mishikaki ya chura?
10 years ago
Habarileo05 Dec
Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura
MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Wapata chura ndani ya mkebe wa tomato
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
CCM NA BUNGE LA KATIBA: Falsafa ya Interahamwe
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) hakikutaka, hakitaki na hakitotaka mabadiliko! Ndiyo maana kilipinga kuandikwa kwa katiba mpya! Huu ni ukweli wa kihistoria na usiopingika. CCM imekuwa ikizuia kwa nguvu zote mabadiliko...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
FALSAFA YA NYERERE: CCM wamechonga sanamu
MWALIMU Julius Nyerere ndiye muasisi wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea na ndiye aliyeongoza Chama cha Waafrika wa Tanganyika (TANU) na hatimaye kupatikana uhuru kwa maridhiano. Mwalimu Nyerere alikuwa mtu...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Migogoro, falsafa katika tamthiliya ya Orodha
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Usawa wa binadamu, msingi ya Falsafa ya Mwalimu
INGAWA Mwalimu alikuwa mwanasiasa aliyeongoza mapambano ya ukombozi wanchi yake Tanganyika, na ba
Issa Shivji
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Falsafa ya Kwame Nkrumah itaivusha Ukawa?
KWAME Nkrumah alikuwa Rais wa kwanza wa Ghana na mwanasiasa ambaye alipigania Uhuru wa nchi hiyo,
Kitila Mkumbo