CCM NA BUNGE LA KATIBA: Falsafa ya Interahamwe
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) hakikutaka, hakitaki na hakitotaka mabadiliko! Ndiyo maana kilipinga kuandikwa kwa katiba mpya! Huu ni ukweli wa kihistoria na usiopingika. CCM imekuwa ikizuia kwa nguvu zote mabadiliko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-moDlZ1DiB-o/Tt8BR5pv-AI/AAAAAAAAAok/gVt3oYxgVeU/s1600/Kikwete503.jpg?width=650)
MIAKA 38 YA CCM NA FALSAFA YA RAIS BORA LAZIMA ATOKE CCM
11 years ago
Mwananchi25 Mar
CCM yaliteka Bunge la Katiba
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
CCM walichoka Bunge la Katiba
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kutafuta maridhiano ya mchakato wa katiba mpya, baadhi ya wajumbe...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM yapongeza Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
CCM yaanguka Bunge la Katiba
MSIMAMO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kura za maamuzi katika Bunge la Katiba ziwe za siri jana zilipata pigo kubwa baada ya baadhi ya makada wake kuukataa. Juzi wabunge...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
FALSAFA YA NYERERE: CCM wamechonga sanamu
MWALIMU Julius Nyerere ndiye muasisi wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea na ndiye aliyeongoza Chama cha Waafrika wa Tanganyika (TANU) na hatimaye kupatikana uhuru kwa maridhiano. Mwalimu Nyerere alikuwa mtu...
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
CCM yachangia vurugu Bunge la Katiba
KITENDO cha Serikali kupeleka muswada wa Sheria ya kulibadilisha bunge la kutunga sheria na kuisimamia Serikali kuwa ‘Bunge Maalumu la Katiba’ la Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Rais ambaye pia...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
CCM waache ujuha Bunge la Katiba
NIMEPOKEA kwa masikitiko makubwa na kujikuta nalitazama taifa hili kama shamba lisilokuwa na mmiliki wake. Ninapata shida sana ninapoona na kusikia viongozi wakubwa wa taifa hili wakidiriki kutoa kauli za...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
CCM NA BUNGE LA KATIBA: Hoja nyepesi za kukariri
NI ukweli usio na shaka kwamba wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Bunge la Katiba ni wengi kuliko wajumbe kutoka makundi mengine. Kwa maana hiyo, CCM imelihodhi Bunge na...