CCM yachangia vurugu Bunge la Katiba
KITENDO cha Serikali kupeleka muswada wa Sheria ya kulibadilisha bunge la kutunga sheria na kuisimamia Serikali kuwa ‘Bunge Maalumu la Katiba’ la Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Rais ambaye pia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Mar
Vurugu Bunge Maalum la Katiba
BUNGE Maalum la Katiba, limeanza kuingia dosari na kulazimika kuahirishwa kabla ya muda wake waliojipangia, baada ya kuwepo malumbano, kuzomeana miongoni mwa wajumbe na wengine kuonesha dhahiri kutaka kupigana ndani ya ukumbi, baada ya kunyanyuka na kuzuiwa na wajumbe wenzao. Hali hiyo ilimlazimu Mwenyekiti wa Muda wa Bunge, Pandu Ameir Kificho, kuahirisha semina hiyo saa 6:13 mchana badala ya saa 7:00 mchana, baada ya wajumbe kuonesha utovu mkubwa wa nidhamu kwa kukaidi agizo lake la...
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Vurugu za maono zinatawala
WABUNGE ni watu wanaotoka kwenye mazingira na mitazamo tofauti ya kisiasa na kiitikadi, hivyo basi kuna kila sababu wote wakubaliane juu ya tofauti zao. Mchanganyiko maalumu wa wabunge wa Bunge...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani vurugu zinazojitokeza Bunge ,maalum la Katiba
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Tamko La Wanafunzi by moblog
11 years ago
Mwananchi25 Mar
CCM yaliteka Bunge la Katiba
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
CCM walichoka Bunge la Katiba
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kutafuta maridhiano ya mchakato wa katiba mpya, baadhi ya wajumbe...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM yapongeza Bunge la Katiba