Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yasaka kocha England

>Pamoja na makocha wengi kujitokeza kuwania nafasi ya kuinoa Yanga, uongozi wa klabu hiyo umeelekeza nguvu zao Uingereza kwa ajili ya kurithi mikoba ya kocha Mholanzi, Ernie Brandts.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo

Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Southgate kuendelea kuwa kocha England

kocha wa timu ya vijana ya England chini ya miaka 21 Gareth Southgate amesema anataka kuendelea kuwa kocha wa kikosi hicho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Eddie Jones kocha mpya Raga,England

Eddie Jones leo anakuwa kocha mpya timu ya Raga ya Uingereza na kuwa na raia wa kwanza wa kigeni kuifundisha timu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Man United yang’ara England

BAO la dakika za mwisho la kujifunga la Troy Deeney liliipeleka Manchester United kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu katika mechi ya jana baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

 

11 years ago

GPL

Straika wa England atua Yanga, aanza mazoezi

Na Sweetbert Lukonge
YANGA kweli ngoma inogile! Ndivyo unaweza kusema, baada ya mshambuliaji mwingine kutua klabuni hapo akitokea England na kisha kuanza mazoezi chini ya Kocha Marcio Maximo. Mshambuliaji mpya wa Yanga aliyekuwa akikipiga katika timu ya Coventry City ya England Suleiman Abdallah Mbarouk. Mshambuliaji huyo raia wa Tanzania ambaye amekuwa akicheza soka England kwa miaka mingi, Suleiman Abdallah Mbarouk,...

 

10 years ago

Habarileo

Kocha: Yanga haijaiva

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amesema timu yake bado haijaiva kiasi cha kuridhika kutetea taji lake la Ligi Kuu hivyo inahitajika marekebisho kidogo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Taji la ligi ya England: Jinsi kocha Jurgen Klopp alivyoisaidia Liverpool kushinda taji la Ligi ya Primia.

Jurgen Klopp amechangia pakubwa katika ushindi wa Liverpool kwenye Ligi ya Primia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani