Man United yang’ara England
BAO la dakika za mwisho la kujifunga la Troy Deeney liliipeleka Manchester United kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu katika mechi ya jana baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Beckham, mwanaye wang’ara mechi ya uchangiaji England
David Beckham na mtoto wake Brooklyn wamecheza pamoja katika timu nyota Uingereza na Ireland XI dhidi ya timu ya Nyota wengine wa Dunia na kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa uchangishaji fedha.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England
 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Vipaji Siri ya nyota Amerika Kusini kung’ara England, Ulaya
Soka linabaki kuwa moja ya mchezo unaopendwa zaidi duniani, huku makocha wakiumiza vichwa kusaka mafanikio kwa kusajili nyota wa kuwang’arisha.
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Liverpool,Man City zashinda Man United nje
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough
9 years ago
TheCitizen28 Sep
Man City slip allows Man United to claim summit
Manchester United exploited Manchester City’s 4-1 defeat at Tottenham Hotspur by beating Sunderland 3-0 on Saturday to replace their rivals at the top of the Premier League table.
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
FA: Man United kuivaa Cambridge United
Manchester United itashuka dimbani kuikabili timu ya Cambridge United katika mchezo wa marudio kombe la FA.
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
UEFA : Man United, Man City zachapwa
Timu za Uingereza za Man United na Man City zimeanza vibaya michuano ya kombe la klabu bigwa barani Ulaya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania