Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Beckham, mwanaye wang’ara mechi ya uchangiaji England

David Beckham na mtoto wake Brooklyn wamecheza pamoja katika timu nyota Uingereza na Ireland XI dhidi ya timu ya Nyota wengine wa Dunia na kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa uchangishaji fedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Beckham na Zidane kurejea uwanjani November kwenye mechi ya hisani ya mastaa wote

Mchezaji wa zamani wa Manchester United, David Beckham atakuwa nohodha wa timu ya Uingereza na Ireland itakayokuwa na mastaa wote kucheza na timu ya dunia na inayoongozwa na Zinedine Zidane kwenye mechi itakayopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford, Jumamosi, November 14 ili kukuza uelewa na fedha kwaajili ya shirika linalohudumia watoto duniani, UNICEF. Zidane na […]

 

9 years ago

Habarileo

Man United yang’ara England

BAO la dakika za mwisho la kujifunga la Troy Deeney liliipeleka Manchester United kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu katika mechi ya jana baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

 

10 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England

 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.

 

10 years ago

Mwananchi

Vipaji Siri ya nyota Amerika Kusini kung’ara England, Ulaya

Soka linabaki kuwa moja ya mchezo unaopendwa zaidi duniani, huku makocha wakiumiza vichwa kusaka mafanikio kwa kusajili nyota wa kuwang’arisha.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

LIGI KUU ENGLAND MECHI ZA LEO

Chelsea v West Brom - Stamford Bridge - 12:00 Jioni
Everton v West Ham - Goodison Park - 12:00 Jioni  
Leicester v Sunderland - King Power Stadium - 12:00 Jioni
Man City v Swansea - Etihad Stadium - 12:00 Jioni  
Newcastle v QPR - St. James' Park - 12:00 Jioni
Stoke v Burnley - Britannia Stadium - 12:00 Jioni…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani