Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuna mengi ya kujikumbusha tukielekea kwenye uchaguzi

Kwa kipindi cha mwaka mzima nimekuwa nikiandika makala juu ya uchaguzi mkuu. Nimeandika pia miaka ya nyuma uchaguzi wa 1995, 2000, 2005 na 2010.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuna mengi ya kujifunza uchaguzi Zambia

Ndugu wasomaji wangu, leo naanza kuandika makala hii nikiwa jijini Lusaka nchini Zambia kama mwangalizi wa kimataifa ambaye nilikuja kuangalia uchaguzi wa Rais wa Zambia. Nilipata nafasi kama hii mwaka 2011 kuangalia Uchaguzi Mkuu ambao ulimpeleka Ikulu Michael Chilufya Satta kwa jina maarufu Cobra wa chama cha Patriotic Front (PF).

 

10 years ago

GPL

‘JICHO LA FIKRA’ LITUMIKE BUNGENI TUKIELEKEA UCHAGUZI MKUU

Na Eric Shigongo/Uwazi
MUNGU ni mwema na ndiyo maana amenichagua mimi na wewe kuendelea kuishi hadi leo, hivyo tumsifu!
Baada ya kusema hayo nianze makala haya kwa kusema kuwa wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapa Tanzania, Oktoba mwaka huu, tayari yapo matukio yanayojitokeza yakiwa na taswira tofauti. Kimsingi matukio haya yanahitaji mtu atumie zaidi ‘jicho la fikra’, kuliko macho ya kawaida ili kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Jamani! Kuna mengi Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umeibuka na mambo mengi likiwamo la kutaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) liweke hadharani ripoti ya kamisaa wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati yao na Ruvu Shooting.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbona Kenya kuna makundi haramu mengi?

Polisi wanasema Kenya kuna makundi haramu zaidi ya 40 lakini makundi hao wanadai wanapigania haki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuna maisha baada ya uchaguzi

VURUGU na visa kwenye chaguzi mbalimbali zinazotokea hapa nchini hivi sasa vimeanza kuonekana ni sehemu ya mchakato huo ingawa mambo hayo yanatia doa ukuaji wa demokrasia. Tanzania iliporidhia mfumo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kimeshindwa kwa mengi uchaguzi madiwani

>Wapo wanaosema uchaguzi mdogo uliofanyika Februari 8 mwaka huu katika kata 27 zilizopo ndani ya mikoa 15 nchini umepeleka chereko CCM na majonzi Chadema.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kuelekea uchaguzi mkuu 2015, tuna mengi ya kujifunza 

TUNAPOELEKEA uchaguzi mkuu wa 2015 na kazi kubwa iliyo mbele yetu ya kutengeneza Katiba mpya ya taifa letu, Watanzania tuna mambo mengi ya kujifunza. Jinsi tunavyowatafuta wataalamu wa uchumi, soko...

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Kwanza: Kuna maisha baada ya uchaguzi

Bila shaka leo ni siku mojawapo ya  muhimu sana katika historia ya kisiasa kwa siku za karibuni.

 

10 years ago

Habarileo

'Kuna tatizo kwenye mfumo wa elimu'

BARAZA la Uongozi wa Elimu, Utawala na Usimamizi (TACELAM) limesema matumizi ya lugha ya kufundishia ni moja ya tatizo linalozorotesha maendeleo ya elimu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani