NATESEKA JAMANI!
![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R35Wkj7AU*qSMrADcxVkNI8GlKqFOmCVhpdVjouC4Cs0fhTG-cFvOcCILVHumxWhKGQd99DG*WWQjF**K47ljGc/nateseka.jpg?width=650)
Na Jelard Lucas na Makongoro Oging’ KIJANA Haruni Kayombo (19), mkazi wa Mbalizi, Mbeya anaishi kwa mateso makubwa tangu mwaka 2006, baada kushikwa na ugonjwa wa ajabu uliomuanza ghafla. Haruni Kayombo. Katika mahojiano na gazeti hili akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, Kayombo alisema bado hajui hatima ya maisha yake kutokana na mateso anayoyapata usiku na mchana huku akitoa simulizi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DQIeV0TCVCR3WAshX8SntywIP92kskygzZsmK6M-R75FxtFI036xoRuwY7VobZHLww3SpWYI2Spa2bZMDtVOyJD/rayc.jpg?width=655)
RAY C: NATESEKA KUISHI BILA MPENZI JAMANI
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75pSwoPVQpGOKC8M0pkA-XcG5htoH1a8gHCWsdCPKhp339qSS78bD*w1Ht3hYMbBOwdyKIjPE7*KvJaYpOIgoLmo/denti.jpg)
NATESEKA NA DONDA LA AJABU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo8NQpQTkWtp*piFP9EHxK-STNvwwwdCl7eqoh1umgZRPnVPV4eKA6jDoF6S-71xhcRkVCnkR6v-wWnDty1Fjlbq/okwiiiiiiiii.jpg?width=650)
Okwi: Nateseka moyoni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbaeoALERsGm1rUUHBsFWKM65yVmm6KNrdNw4dg0bGkzNRNofcaVvKGc9yfamA*Xbv-Pcs6U0K3FlCLLaVa*eNUrw/Mage.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbadSSV364rM7KHudsuJIDOqO-fSBRoagjpSeMpx4qRUXbUpYTXbV3sCl7IZ4FQHWKyuZRJuTTmUoqymqs7Zl7B5P/hapiness.jpg)
HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-BAkWOqEbaDfVbgu4axTacisfhxXEukrVME7ge*1lM86vY1G5TXw-MTqkl6PuwlliptA-J7n6Z0m0oQ9Ji3KbKG/davina.jpg)
DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytrtM8RXH9aHy3qbcYA-pnQP4eRCsMIDotsK7Cv6-OujV-C2en28iQ38cf-5X3W-Ssob2ZI4RGQgstvZdL2wRZp8/BACK.jpg?width=650)
LULU: NIHURUMIENI JAMANI!
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Uwoya: Sijafulia jamani
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI maarufu wa bongo, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
“Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.