Okwi: Nateseka moyoni
![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo8NQpQTkWtp*piFP9EHxK-STNvwwwdCl7eqoh1umgZRPnVPV4eKA6jDoF6S-71xhcRkVCnkR6v-wWnDty1Fjlbq/okwiiiiiiiii.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji mwenye kasi, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu KIUNGO mshambuliaji mwenye kasi, Emmanuel Okwi, amesema anaumia kuona anakaa nje wakati timu yake ikipambana uwanjani. Okwi, raia wa Uganda, amesema ana hamu kubwa ya kuitumikia Yanga ambayo ina majukumu ya kutetea ubingwa na kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Okwi alisema anatamani kuungana na wenzake na kupambana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R35Wkj7AU*qSMrADcxVkNI8GlKqFOmCVhpdVjouC4Cs0fhTG-cFvOcCILVHumxWhKGQd99DG*WWQjF**K47ljGc/nateseka.jpg?width=650)
NATESEKA JAMANI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75pSwoPVQpGOKC8M0pkA-XcG5htoH1a8gHCWsdCPKhp339qSS78bD*w1Ht3hYMbBOwdyKIjPE7*KvJaYpOIgoLmo/denti.jpg)
NATESEKA NA DONDA LA AJABU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-BAkWOqEbaDfVbgu4axTacisfhxXEukrVME7ge*1lM86vY1G5TXw-MTqkl6PuwlliptA-J7n6Z0m0oQ9Ji3KbKG/davina.jpg)
DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbadSSV364rM7KHudsuJIDOqO-fSBRoagjpSeMpx4qRUXbUpYTXbV3sCl7IZ4FQHWKyuZRJuTTmUoqymqs7Zl7B5P/hapiness.jpg)
HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbaeoALERsGm1rUUHBsFWKM65yVmm6KNrdNw4dg0bGkzNRNofcaVvKGc9yfamA*Xbv-Pcs6U0K3FlCLLaVa*eNUrw/Mage.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DQIeV0TCVCR3WAshX8SntywIP92kskygzZsmK6M-R75FxtFI036xoRuwY7VobZHLww3SpWYI2Spa2bZMDtVOyJD/rayc.jpg?width=655)
RAY C: NATESEKA KUISHI BILA MPENZI JAMANI
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Mkuki moyoni mwangu – 11
Hali ya Catarina bado ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Jopo la madaktari wakishirikiana na Dk. Ngamila wamefanya matibabu ya awali ya dawa ya mionzi kuona kama angeweza kupata nafuu lakini haikuwa hivyo, Dk. Ngamila analazimika kuwaita wazazi wake na kuwaeleza majibu ya mtoto wao akiwaeleza kwamba pamoja na matibabu ya awali bado vimelea vya Saratani vilikuwepo kwenye damu.
Ushauri pekee anaowaeleza ni kumpandikizia Catarina Uboho kutoka kwa mtu mwingine hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Zitto atoa ya moyoni
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia ya kumuenzi mama yake Shida...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Mkuki moyoni mwangu 18
Catarina amelazwa hospitali ya Ocean Road akisumbuliwa na saratani ya damu, ugonjwa ulioibuka ghafla wakati akifuatilia afya ya Kevin, kijana waliyependana lakini hawakuwahi kuelezana ukweli wa mioyo yao.
Kevin hivi sasa anaendelea vizuri na ametoka hospitali na kurejea nyumbani, wazazi wake wamemkatalia kabisa kumuona Catarina ingawa alitaka jambo hili litokee. Matibabu ya mionzi yameanza kwa Catarina na wazazi wake wameelezwa kwamba yanaweza kuwa na madhara lakini inabidi wakubaliane kwani...