Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOPATA MTOTO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Miss Tanzania Mwaka 2001, Happiness Millen Magese akijibu maswali ya waandishi wa Global (hawapo pichani).  Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini...

 

11 years ago

Michuzi

MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.Happiness...

 

11 years ago

GPL

HAPPINESS MAGESE ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Happiness Millen Magese akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV Online. Miss Tanzania 2001, Happiness Millen Magese akiendelea na mahojiano na Global TV Online.…

 

11 years ago

GPL

HAPPINESS MAGESE ATOA SOMO KWA WASICHANA

Happines Magese akitoa semina kwa wanafunzi. Wanafunzi wakimsikiliza. Mwilimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja Beach, Beatrice Mhina nae akisistiza jambo kwenye semina…

 

11 years ago

CloudsFM

HAPPINESS MAGESE ATOA SOMO KWA WANAFUNZI

MWANAMITINDO maarufu ulimwenguni na mshindi wa taji la Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Magese, kupitia mradi wake wa Millen Magese Foundation, leo amewapa semina wasichana wa shule za sekondari Mtakukuja na Kondo pamoja na wasichana wa shule za msingi Mtakuja na Mtongani juu ya ugonjwa wa Endometriosis ambao huwatesa wanawake wengi kwa maumivi makali na pengine ugumba.Mwanamitindo huyo alitoa somo hilo kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mtakuja ambapo watu zaidi ya 1200 walielimishwa juu...

 

11 years ago

Michuzi

HAPPINESS MAGESE ATOA MAFUNZO KUHUSIANA UGONJWA WA ‘Endometriosis’

Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2001,Hapiness Millen Magese akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam Mei 28,2014 kuhusu kuanzishwa kwa Kampeni ya kuhamasisha wanawake na vijana kupaza sauti zao wanaposumbuliwa na ugonjwa wa ‘Endometriosis’ baada ya yeye kuathirika na Ugonjwa huo kwa kipindi kirefu.
Amesema wanawake wengi na wasichana wamekuwa wakisumbuliwa lakini hawajui...

 

11 years ago

GPL

MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI

Millen Happiness Magese. Na Martha Mboma
(ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke maarufu kwa jina la Lucy Kiwele ambaye anamwambia ajikaze azungumze, baada ya sekunde kadhaa anaanza kujielezea…) Naitwa Millen Happiness Magese ni mrembo wa Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 2001, kwa sasa nafanya kazi za mitindo nchini Marekani, kabla sijafika...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ALIA KUTOPATA MTOTO

Na Imelda Mtema
SUPER lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto, Risasi Jumamosi limeinyaka. Super lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe. KUMBE!
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu, staa huyo amekuwa akihaha kusaka mtoto huku shinikizo likitoka kwa bibi yake, mzaa baba ambaye amekuwa akimuuliza juu ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Jack Chuz Alia Kutopata Mtoto

KARIBU tena msomaji katika kolamu hii inayokuunganisha na mastaa mbalimbali wa muziki na filamu hapa nchini na kupata fursa ya kuwauliza maswali ambayo yamekuwa yakiumiza kichwa huyapatii majibu. Leo tunaye Jack Pentezel ‘Jack Chuz’.

Msomaji: Mbali na sanaa unafanya shughuli gani?

Jack Chuz: Nina saluni yangu Sinza na duka la nguo. Pia ni mtaalam wa kusuka na make up.

Msomaji: Nasikia bila ndumba huwezi kukubalika kwenye sanaa, unaliongeleaje hilo?

Jack Chuz: Si kweli, uzuri wa kazi zako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani