RAY C: NATESEKA KUISHI BILA MPENZI JAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DQIeV0TCVCR3WAshX8SntywIP92kskygzZsmK6M-R75FxtFI036xoRuwY7VobZHLww3SpWYI2Spa2bZMDtVOyJD/rayc.jpg?width=655)
Stori: IMELDA MTEMA STAA aliyebeba ‘taito’ kubwa ndani ya Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye alitopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kisha kuyaacha, amefunguka kuwa yupo fiti na anataka kuishi na mpenzi, hayupo tayari kuteseka. Ray C. Ray C alifunguka hayo kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram hivi karibuni ambapo bila hiyana alishindwa kuzuia hisia zake kama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R35Wkj7AU*qSMrADcxVkNI8GlKqFOmCVhpdVjouC4Cs0fhTG-cFvOcCILVHumxWhKGQd99DG*WWQjF**K47ljGc/nateseka.jpg?width=650)
NATESEKA JAMANI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP4jZU52gCrbraxyPnC-xDoGQYIcs3rp-K5BYrC2oKeCEsxw9bq0ifMHkuFg7EidKMelG7xYVdQRFbkFG*gY724u/Love.jpg)
JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MZURI BILA PRESHA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD518OO-X1IvPLDgiL6erTjDyTlYu4ZicYzbZLpeijq3lCIF*PbAjYY-QIzcrx5KFLM3WfVQrGNzy8w9FvyO9K8aLM/H1.jpg)
BAHATI BUKUKU ARIDHIKA KUISHI BILA MUME
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s72-c/ray%2Bc2.jpg)
Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye
![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s400/ray%2Bc2.jpg)
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:
“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe...
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Ray C wa kiuno bila mfupa abadilika
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Hakuna RAy wa 'kutisha' bila Kanumba