Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NATESEKA NA DONDA LA AJABU!

Stori: makongoro oging’
Mwanafunzi (denti) wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere, mkoani Kilimanjaro, Joseph Hamis Mruma (17), ameshindwa kuendelea na masomo tangu Januari, mwaka huu kutokana na maunivu makali ya donda la ajabu lililotokeza katika kisigino cha mguu wake wa kushoto.
Donda hilo amedumu nalo kwa miaka mitatu sasa na limemfanya akose raha. Joseph Hamis Mruma akiwa na msamaria mwema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa dawa ni ‘donda ndugu’

Serikali imesema kati ya asilimia 70 ya dawa inazozitoa kwenda kwenye hospitali na vituo vyake vya afya nchini, ni asilimia 30 pekee huwafikia walengwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Serikali ina donda ndugu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Conchester Rwamlaza (CHADEMA) amesema serikali ina donda ndugu la kuruhusu mianya ya rushwa. Conchesta alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya serikali...

 

11 years ago

GPL

NATESEKA JAMANI!

Na Jelard Lucas na Makongoro Oging’
KIJANA Haruni Kayombo (19), mkazi wa Mbalizi, Mbeya anaishi kwa mateso makubwa tangu mwaka 2006, baada kushikwa na ugonjwa wa ajabu uliomuanza ghafla. Haruni Kayombo. Katika mahojiano na gazeti hili akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, Kayombo alisema bado hajui hatima ya maisha yake kutokana na mateso anayoyapata usiku na mchana huku akitoa simulizi ya...

 

11 years ago

GPL

Okwi: Nateseka moyoni

Kiungo mshambuliaji mwenye kasi, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
KIUNGO mshambuliaji mwenye kasi, Emmanuel Okwi, amesema anaumia kuona anakaa nje wakati timu yake ikipambana uwanjani. Okwi, raia wa Uganda, amesema ana hamu kubwa ya kuitumikia Yanga ambayo ina majukumu ya kutetea ubingwa na kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Okwi alisema anatamani kuungana na wenzake na kupambana...

 

10 years ago

GPL

DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU

Stori: IMELDA MTEMA
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake. Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina. Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kabla hajaingia kwenye ndoa yake ya sasa, alizaa mtoto mmoja na mwanaume ambaye ni dairekta mkubwa wa filamu nchini lakini mwanaume...

 

11 years ago

GPL

HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Miss Tanzania Mwaka 2001, Happiness Millen Magese akijibu maswali ya waandishi wa Global (hawapo pichani).  Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini...

 

11 years ago

GPL

RAY C: NATESEKA KUISHI BILA MPENZI JAMANI

Stori: IMELDA MTEMA
STAA aliyebeba ‘taito’ kubwa ndani ya Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’  ambaye alitopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kisha kuyaacha, amefunguka kuwa yupo fiti na anataka kuishi na mpenzi, hayupo tayari kuteseka. Ray C. Ray C alifunguka hayo kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram hivi karibuni ambapo bila hiyana alishindwa kuzuia hisia zake kama...

 

10 years ago

GPL

GONJWA LA AJABU

Na Makongoro Oging’ MAAJABU ya Mungu! Ukisema wewe unaumwa sana, inawezekana hujawaona wagonjwa wengine! Faiza Masaka Paga (23)(pichani), mkazi wa Chanika –Msumbiji, Ilala jijini Dar amekumbwa na gonjwa la ajabu ambalo mpaka sasa madaktari hawajajua ni nini kwani sehemu ya kiuno na kalio upande wa kushoto imevimba na kumfanya aonekane ana kama nundu kubwa ya kutisha! Faiza Masaka mkazi wa Chanika akionyesha jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani