FLORA: KUZAA RAHA JAMANI!
Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’. Stori:Chande Abdallah Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashinikiza wasanii wenzake wa kike kuzaa mapema huku akiwataka kuingia kwenye hatua ya kuitwa mama na kusema kuzaa kuna raha yake. Akizungumza na mwandishi wetu, Flora alisema baadhi ya mastaa wamekuwa na dhana potofu kwamba, ukizaa unazeeka na utakuwa hufanyi starehe, jambo ambalo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Jan
Flora:Kuzaa Kuna Raha Yake!!
Mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ ambae ni mama wa mtoto mmoja, amewashinikiza wasanii wenzake wa kike kuzaa mapema huku akiwataka kuingia kwenye hatua ya kuitwa mama na kusema kuzaa kuna raha yake.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Flora alisema baadhi ya mastaa wamekuwa na dhana potofu kwamba, ukizaa unazeeka na utakuwa hufanyi starehe, jambo ambalo halina ukweli.
“Mimi nawashauri wazae tu, kuzaa kuna raha yake bwana. Unajua starehe haziishi, kikubwa ni wao kuzaa fasta...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFntjlozty*du7TwhdlC91urpzr7ET6-q*lbfj1I4H053ILydom2HdsIubcfgN9Bs3sJpVBbSAHB06*IvUhHPcN/julie.jpg)
JULIETH: JAMANI SIJAWAHI KUZAA
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
9 years ago
Michuzi09 Sep
KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R35Wkj7AU*qSMrADcxVkNI8GlKqFOmCVhpdVjouC4Cs0fhTG-cFvOcCILVHumxWhKGQd99DG*WWQjF**K47ljGc/nateseka.jpg?width=650)
NATESEKA JAMANI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVeLtFwDiTrtyMxT9rhsNWn9A*jHwVd6F1EZ3PwxgmL0xIASm-lgUT0F*bO37r6ZasXHalyCjk*GOSpQezIVpMf2/kijana.jpg?width=650)
JAMANI NAKUFA, NIOKOENI
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Uwoya: Sijafulia jamani
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI maarufu wa bongo, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
“Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytrtM8RXH9aHy3qbcYA-pnQP4eRCsMIDotsK7Cv6-OujV-C2en28iQ38cf-5X3W-Ssob2ZI4RGQgstvZdL2wRZp8/BACK.jpg?width=650)
LULU: NIHURUMIENI JAMANI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejLSKC1OrRACu0d-1Qn55TaPY347WtmNQwWoVMwrr5Ur0*FZzAibHm359kHhl5DV1eKXFFJl6kRLqp*rOkOg57bQ/nisha.jpg)
NISHA: SIJAFULIA JAMANI