Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASKINI MBASHA!

Stori: Mwandishi Wetu HAKUNA neno jingine zaidi ya kusema maskini Mbasha! Jina zima ni Emmanuel Mbasha (32) ambaye ni mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha juzi amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ishu ni yale madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (jina lipo). Basi lililombeba Emmanuel Mbasha likiwa chini ya ulinzi mkali wa askari magereza likisindikizwa kuelekea mahakamani. Akisomewa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maskini Tanzanite

p>TIMU ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 ya Tanzania, ‘The Tanzanite’ jana ilishindwa kutamba kwenye dimba la nyumbani baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1 kutoka kwa Afrika...

 

11 years ago

GPL

MASKINI JOHARI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
MASKINI! Ndiyo neno linaloweza kumtoka mtu yeyote mwenye mapenzi mema na staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye kwa sasa afya yake si ya kuridhisha, Ijumaa lina kila kitu.
Johari ni mgonjwa kwa zaidi ya siku tano sasa akiwa mtu wa kwenda hospitali mara kwa mara kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Blandina Chagula ‘Johari’. TAARIFA ZA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maskini Sheikh Ponda

JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba...

 

10 years ago

GPL

MASKINI MTOTO HUYU

Boniphace Ngumije na Chande Abdallah MASKINI mtoto huyu!  Unapojaliwa kupata mtoto akiwa mzima asilimia 100 unatakiwa kumshukuru Mungu. Mwajuma Juma (25) mkazi wa Mbagala, Sabasaba Dar es Salaam, ameingia kwenye mtihani mzito tangu ajifungue mwanaye Yathib Rajab mwaka mmoja uliopita, akiwa hana sehemu ya kujisaidia haja kubwa.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1eJ1BGw ...

 

11 years ago

GPL

MASKINI MAN UTD

Fabio Borini akishangilia baada ya kuifungia Sunderland bao la pili kwa njia ya penalti kipindi cha pili dakika ya 64.
Nemanja Vidic wa Manchester United akifunga bao la kusawazisha kwa timu yake na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika ya 52.…

 

11 years ago

GPL

MASKINI AFANDE SELE

Stori:  Erick Evarist na Joseph Shaluwa
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MBASHA: NITAJIUA

Stori: Sifael Paul na MAKONGORO OGING’
Upande wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na kuzungumza na Uwazi katika mahojiano maalum dhidi ya kashfa yake hiyo huku akitishia kujiua. Mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha,akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha. Akizungumza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani