Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Thamini ulivyo navyo, ufanikiwe zaidi

CHANGOMOTO kubwa kwa vijana wengi na maswali mengi tunayojiuliza ni kwa jinsi gani tunaweza kutengeneza mafaniko katika maisha yetu. Mtaalamu wa sayansi ya mafanikio, Napoleon hill katika kitabu chake think...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda aseme ukweli ulivyo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, juzi aliwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15 akisema kuwa hali ya kisiasa nchini ni tulivu na vyama vya siasa vinaendelea na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuwa mbunifu ufanikiwe

KATIKA makala za Maisha Yetu niliwahi kuandika kwamba njia pekee ya kufanikiwa ni kutoruhusu mawazo yanayoleta kizuizi, kama vile kuwaza umaskini au wasiwasi kwa kile unachokifanya. Kama wewe ni mtu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari: Thamini Kinachokupa Thamani

Kiukweli huyu ni moja kati ya wanawake wanaojituma na kufanya kazi kwenye tasnia hii ya Bongo Movies, amekuwa ni bora kwenye kucheza na kuongoza filamu nyingi, amewasidia wengi kutoboa kwenye tasnia kupitia kampuni yao ya RJ, utakubaliana na mimi huyu moja kati ya wanawake wanaojielewa sana kwenye tasnia, sio mwingine ni Blandina Chagula “Johari”.

Mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu  matandaoni, akiwa ofisini kwake aliandika “Thamini kinachokupa thamani” huu ni ujumbe mzito sana...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUJIVUNIA VIVUTIO WALIVYO NAVYO



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (katikati) akisoma kibao kinachotoa maelezo kuhusu Michoro ya Miambani wakati alipotembelea kituo cha Michoro ya Miambani cha Kolo Kondoa, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Malikale Bw. Revocatus Bugumba na kushoto kwake ni Bw. Zuberi Mabie ambaye ndiye Mkuu wa Kituo hicho.
katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akizungumzia umuhimu wa kuhifadhi michoro inayopatikana katika eneo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumia vipaji vyako ufanikiwe maishani-2

Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni umuhimu wa kubaini vipaji tulivyojaliwa na Mungu na kuvitumia kufanikiwa maishani.

 

10 years ago

Mwananchi

Tawala muda wako ili ufanikiwe - 2

Wiki iliyopita nilijadili juu ya namna ya kutumia muda vizuri. Nilieleza kuwa ni vizuri ukahakikisha kuwa kila saa 24, inayotimiliza siku nzima, unapaswa kuzitumia kikamilifu ili uwe na manufaa kwa maisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tengeneza miundombinu ya fedha ufanikiwe kiuchumi

MIUNDOMBINU ya fedha ni zile barabara unazozijenga, ili fedha zikufikie, ni sawa na kuwa nyumba ambayo ni mafanikio ya uchumi ukitaka kuifikia nyumba hiyo, lazima kuwe na barababara ama njia....

 

11 years ago

Bongo5

Rapper Baghdad kutoa mkwanja kila siku kwa mashabiki wake, fahamu mchakato ulivyo

Rapper Baghdad amewaandalia zawadi ya shilingi 5,000 kila siku mashabiki wake watakaosupport ngoma yake mpya, Haters. Akiongea na Bongo5, Baghdad ambaye pia ni mtangazaji wa EFM amesema: Shindano la kutoa buku 5 kila siku kwenye Instagram, Facebook, naWhatsaap limeanza rasmi leo. Masharti ni kufanya wimbo wa Haiters -baghdad ft Drea , kuwa muito wa wakupigiao, […]

 

10 years ago

Mwananchi

Tumia vipaji ulivyopewa na Mungu ufanikiwe maishani

Miongoni mwa tunu muhimu za mafanikio ambazo Mungu amewekeza ndani ya kila mtu ni vipawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani