Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAHIMIZWA KUJIVUNIA VIVUTIO WALIVYO NAVYO



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (katikati) akisoma kibao kinachotoa maelezo kuhusu Michoro ya Miambani wakati alipotembelea kituo cha Michoro ya Miambani cha Kolo Kondoa, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Malikale Bw. Revocatus Bugumba na kushoto kwake ni Bw. Zuberi Mabie ambaye ndiye Mkuu wa Kituo hicho.
katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akizungumzia umuhimu wa kuhifadhi michoro inayopatikana katika eneo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’

WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kutembelea vivutio vya utalii

WATANZANIA wameaswa kutembelea vivutio vya utalii ili kuona mambo mbalimbali hususani wanyama waliopo kwenye hifadhi zote nchini na hasa nyakati za Sikukuu za mwishoni mwa mwaka yaani Krismasi na Mwaka Mpya.

 

10 years ago

Michuzi

WAISLAM WA STOCKHOLM WALIVYO JUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KWENYE SIKU KUU YA EID

 Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mhe. Dora Msechu (wa pili kulia) akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za Eid el Fitr  jana kwenye ukumbi wa Huddinge jijini Stockholm ambako waislamu walijumuika na Watanzania wenzao kusherehekea mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu kwa kupata chakula cha  pamoja. Keki ya Eid na mapochopocho mengine Bi Aisha Waziri akikata keki ya Eid Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

9 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli

MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.

Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kudumisha amani

Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.

Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki

Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kula vizuri

Dk Donan MmbandoWATANZANIA wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula na ufanyaji wa mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, ambayo kwa sasa yanasababisha vifo vya watu wengi hapa nchini.

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akionesha moja ya simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, WhatsApp, Twitter, Viber, na Instagram. Pamoja naye ni Mkuu wa Idara ya bidhaa kwa wateja wa Vodacom Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kupikia gesi

KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani