Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waaswa kutembelea vivutio vya utalii

WATANZANIA wameaswa kutembelea vivutio vya utalii ili kuona mambo mbalimbali hususani wanyama waliopo kwenye hifadhi zote nchini na hasa nyakati za Sikukuu za mwishoni mwa mwaka yaani Krismasi na Mwaka Mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’

WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vivutio vya utalii Rungwe havitangazwi

WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya imeshindwa kupaa kiuchumi kwa kutovitangaza vivutio vya utalii vilivyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Christian and Gospel Ministry (CGM) wilayani humo, Watson...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutangaza vivutio vya utalii

KLABU ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeiomba serikali mkoani humo, kusaidia kufanikisha mradi wa utangazaji wa vivutio vya utalii mkoani humo, ambao utagharimu zaidi ya Sh milioni 145.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tangazeni vivutio vya utalii- Nyalandu


NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI za utalii nchini, zimetakiwa kutangaza vivutio vya utalii, ndani na nje ya nchi.
Waziri  wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo  jijini Arusha,  wakati akifungua mkutano mkuu wa Wamiliki wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii (TATO).
Alisema kazi ya kutangaza utalii inapaswa kupewa kipaumbele katika kampuni hizo.
Alizitaka kampuni hizo kuhakikisa zinaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia  nchini, ili kuiingizia serikali fedha nyingi za kigeni na kuachana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi Dubai ndiyo wanaotengeneza vivutio vya utalii

Serikali ya Tanzania imekuwa ikitumia kila aina ya nguvu na raslimali zake kuhakikisha inakuwa kivutio cha utalii na watalii kufika nchini.

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA SEMINA YA 25 YA CPA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII MJINI BAGAMOYO

Mjumbe wa wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishia Mhe. Zahara Ali Hama akichota maji kutoka kisima cha kale cha maajabu kwenye msikiti wa Kale wa Kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana. Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembelea makabuli ya kaole wakati wa ziara ya...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA YETU BLOG WAANZA KUTEMBELEA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII MKOANI MBEYA , WAKIANZIA NA KIJUNGU

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu , Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda kujionea...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mbeya yetu Blog waanza kutembelea na kutangaza vivutio vya kitalii mkoani Mbeya, wakianzia na Kijungu

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu ,  Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.

Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani