Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

MBEYA YETU BLOG WAANZA KUTEMBELEA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII MKOANI MBEYA , WAKIANZIA NA KIJUNGU

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu , Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda kujionea...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mbeya yetu Blog waanza kutembelea na kutangaza vivutio vya kitalii mkoani Mbeya, wakianzia na Kijungu

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu ,  Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.

Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda...

10 years ago

Dewji Blog

Salamu maalum za shukurani kutoka Mbeya Yetu Blog

Cheti  cha ushindi wa Tatu ambacho Mbeya Yetu walikabidhiwa na TASO. IMG_6003

Hili ndilo Banda la  Mbeya yetu Blog lililokuwa ndani ya Maonesho ya Nane nane Mbeya.

Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited Joseph Mwaisango kulia Akikabidhiwa Cheti cha ushindi wa tatu  cha vyombo vya habari kikanda katika kurusha matukio yote ya Nane nane Jijini Mbeya na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa  Ruvuma Mh. Rajabu Mwambungu  wa Pili...

11 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO

Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Joseph Mwaisango ******
TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Blog hii ya Mbeya yetu  na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL)  ambao pia ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania, Tone Radio-Tz , This Day Magazine, Stay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz  , Matukio na...

11 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO‏

Mwandishi mkuu wa Mbeya Yetu Blog, Joseph Mwaisango. ****** TONE MULTIMEDIA GROUP ambao ni wamiliki wa Mtandao wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Blog hii ya Mbeya yetu  na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL)  ambao pia ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania, … ...

10 years ago

Dewji Blog

Mo blog inamtakia pole ya uzima Blogger na Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Joseph Mwaisango aliyelazwa kwa matibabu

17301_1021665087861001_2972075610347608120_nMwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu, blogger  Joseph Mwaisango akiwa yupo kitandani Hospitali ya Rufaa Mbeya ambaapo amelazwa tokea jana akisumbuliwa na tatizo la tumbo.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Mtandao wa Modewji blog unamtakia uzima na unafuu Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog, Joseph Mwaisango ambaye jana Aprili 4, alilazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya, kutokana na maradhi ya tumbo yanayomsumbua.

10447391_865297826831062_4485329918231226680_n

Modewji blog na wadau wetu wengine munaendelea kuperuzi nasi kila siku,  tuna kila...

10 years ago

Vijimambo

WENGI WAVUTIWA NA “APP” INAYOTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII NCHI TANZANIA

 App inayoonyesha vivutio mbalimbali vya kitalii  nchini Tanzania,  App hiyo ambayo imeandaliwa na Bi. Benita Cassar Torreggiani kwa  kusaidiwa na wataalam kutoka Apple  inaweza kupatikana kupitia  mitandao ya Ipad, Iphone na  Smart Phone.  Mfanyakazi wa Apple Store Grand Centra jijini New  York ambako onyesho hilo lilifanyika akimtambulisha Bi. Benita. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika  Umoja wa Mataifa,  akizungumza  na Bi . Benita ambapo alimshukuru kwa uamuzi...

10 years ago

Michuzi

WENGI JIJINI NEW YORK WAVUTIWA NA APP INAYOTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII NCHINI TANZANIA

 App inayoonyesha vivutio mbalimbali vya kitalii  nchini Tanzania,  App hiyo ambayo imeandaliwa na Bi. Benita Cassar Torreggiani kwa  kusaidiwa na wataalam kutoka Apple  inaweza kupatikana kupitia  mitandao ya Ipad, Iphone na  Smart Phone.  Mfanyakazi wa Apple Store Grand Centra jijini New  York ambako onyesho hilo lilifanyika akimtambulisha Bi. Benita. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika  Umoja wa Mataifa,  akizungumza  na Bi . Benita ambapo alimshukuru kwa uamuzi...

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kutembelea vivutio vya utalii

WATANZANIA wameaswa kutembelea vivutio vya utalii ili kuona mambo mbalimbali hususani wanyama waliopo kwenye hifadhi zote nchini na hasa nyakati za Sikukuu za mwishoni mwa mwaka yaani Krismasi na Mwaka Mpya.

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani