Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Mwanjale arejea Bungeni leo

 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi,Mh. David Silinde na Mh. Athuman Mfutakamba wakati akiwasili Bungeni mjini Dodoma leo.Mchungaji Mwanjale alipatwa na ugonjwa wa ghafla uliompelekea kukosa nguvu na kuanguka juzi Novemba 10,2014 wakati vikao vya Bunge vikiendelea,hali iliyopelekea kukimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.sasa yuko vizuri na amerejea Bungeni. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo

Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.  Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

9 years ago

CHADEMA Blog

GODBLESS LEMA AREJEA BUNGENI

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amechaguliwa tena kwa mara ya pili kuongoza Jimbo la Arusha Mjini.Akimtangaza Mbunge huyo, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini, Juma Idd alisema Lema ameshinda kwa kura 68,848 sawa na asilimia 65.7.Alisema mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel (Monban) amepata kura 35,607 sawa na asilimia 34 huku mgombea wa Chama cha

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo,  baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza  na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye  alikuwa anadaiwa  kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo  na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.  Mjumbe wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI RWANDA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni leo Machi 7, 2015 akitokea Kigali Rwanda, alikoalikwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. 

Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete ameudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangau:Luckson Mwanjale

Umeongoza kwa kipindi cha miaka minane sasa lakini mbona hatuoni lolote la maana ulilotufanyia wananchi wa Mbalizi?

 

10 years ago

Michuzi

kutoka bungeni leo

 Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Taifa,George G.Bajuta kulia akiwa ameongozana na Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete katikati na Mbunge wa Mtera ,Mhe.Livingstone Lusinde wakati akielekea katika ukumbi wa Bunge kusikiliza ripoti ya kamati maalumu ya Bunge kuhusu Migogoro ya ardhi. Mhe. Ole Sendeka akipongezwa na jamii ya wafugaji kutoka Mkoa wa Manyara waliofika kufuatilia kikao cha bunge leo mara baada ya kumaliza kuwasiloisha ripoti ya kamati teule iliyo kuwa inashughulikia migogoro...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto Josephine Chagulla, Esther Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani