WASTARA ASUMBULIWA NA ROHO YA KIFO
![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jHwMyBM71OWe97ktPL26UpNhXO*bE05m-Xan706OYcS168mzy06LAsv375XqPyjGfd1NH*UjJJgZYNcP6chTAFh/WASTARA2.jpg)
Wastara Juma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan OOOH! Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu Bongo, Wastara Juma kunusurika kifo baada ya kudaiwa kunywa sumu na baadaye kupata ajali, anadaiwa kusumbuliwa na roho wa kifo. Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wastara aliweka picha za wasanii mbalimbali huku akimwelezea kila mmoja alivyo na mwishoni mwa maelezo hayo alimalizia kwa kusema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7qJ1kYw5jAdF3AGRbmgH3pHeFG83-dbp9MxP2bWplFr4SnHHI8MdEEL06TaPOq3vmJlEJhkQJvUi0ZqJG3LyaMg/2014.jpg?width=650)
ROHO WA KIFO BADO KWA MASTAA
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
WASTARA: Imenisikitisha kuzushiwa kifo
Muigizaji wakike wa Filamu hapa nchini, Wastara Sajuki amesikitishwa na taarifa za uongo zilizo enea nchini Burundi kuwa alishafariki kwa ajali ya gari. Kupitia ukurasa wake wa matandao wa INSTAGRAM muigizaji huyo ambaye aliondoka hapa nchini juzi kuelekea nchini humo kizazi, mbali na kuonekana mwenye furaha kwa picha alizoziweka kwenye ukurasa huo akiwa sehemu za ufukweni (Baadhi ya picha kama unavyoziona hapo chini), Wastara alikutana na mashabiki wake na taarifa za kuwa walidhani...
11 years ago
Michuzi02 Aug
11 years ago
Michuzi05 Jul
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/MIRATHI-5-001.jpg?width=650)
MIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69-akeUffky*RWygowKA3-2s5dU1fXW6ONK33ESDmfulrwBKq7vgBIoazYYM2YhCwVtjFw14n4GSvLMJXjNzT10/1.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI ROHO MKONONI
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Sasa roho yangu imetulia
WAKATI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete, alivuma sana na alipendwa na watu wen
Privatus Karugendo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04ashx-gBuyueUXLYEiJ3t79o2*96pqYIvPNE4S1HKpTFKeusVe6izq4o*2JihroC44C-oL3hRQICdu8vVpJWq5DD/ros.jpg?width=650)
ROSE MUHANDO ROHO MKONONI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18M4GcHRwiqOJn-UolCJ8sepqY*KNdUuwKgsOpzlyygpFXWM8fchNYCeANyK55LLBhCU6tX6e*HeB8r6p1V4ewD/joharii.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU!