Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROHO WA KIFO BADO KWA MASTAA

Stori: Hamida Hassan na  Haroun Sanchawa
MTOTO wa  aliyekuwa mtabiri  maarufu nchini, Shehe Yahya Hussein, Maalim Hussein Yahya ametoa utabiri wake wa mwaka na kusema kwamba vifo zaidi vitaendelea kutokea kwa mastaa wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini pamoja na wanasiasa, Risasi Jumamosi linaweka bayana. Aliyekuwa mtabiri  maarufu nchini, Shehe Yahya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASTARA ASUMBULIWA NA ROHO YA KIFO

Wastara Juma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
OOOH! Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu Bongo, Wastara Juma kunusurika kifo baada ya kudaiwa kunywa sumu na baadaye kupata ajali, anadaiwa kusumbuliwa na roho wa kifo. Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wastara aliweka picha za wasanii mbalimbali huku akimwelezea kila mmoja alivyo na mwishoni mwa maelezo hayo alimalizia kwa kusema...

 

11 years ago

GPL

HOFU YA KIFO YATAWALA MASTAA BONGO

Stori: Shani Ramadhani na Deogratius Mongela
HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bongo ikiwa ni siku chache baada ya gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita kutoka na habari ya utabiri wa Hussein Yahaya, ikieleza kuwa mwaka huu vifo zaidi vitaendelea kwa wasanii wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini na wanasiasa. Aunt Ezekiel. Risasi Mchanganyiko limepata kuzungumza na baadhi ya wasanii wa sanaa mbalimbali...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANUSA KIFO AJALI YA NDEGE!

Mastaa kutoka tasnia ya uigizaji Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’, Alex Chalamila ‘Mac Regan’, Sekioni David ‘Seki’ na abiria kibao wamenusurika kufa katika ajali ya ndege. Abiria wakiingia ndani ya ndege. Kwa mujibu wa shuhuda wetu ndani ya Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA BOBBY CHRISTINA, MASTAA MATEJA MNA HAMU NANYI YAWAKUTE?

JUMAPILI iliyopita, mtoto pekee wa waimbaji nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston na Bobby Brown aitwaye Bobbi Christina, alifariki dunia baada ya kuwa amelazwa tangu Januari mwaka huu, akiwa hajitambui. Bobbi, ambaye wazazi wake wote wawili walikuwa ni waathirika wa madawa ya kulevya, Januari 31, mwaka huu alikutwa ameanguka bafuni nyumbani kwake akiwa hajielewi na uchunguzi wa kitabibu ulionesha kwamba alianguka...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA TYSON WAAGWA, MCHUNGAJI AKEMEA ROHO ZA MAUTI KWA WASANII

Mwili wa aliyekuwa muongozaji wa filamu za Kibongo, George Otieno Okumu 'Tyson' jana umeagwa katika Viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini Kenya kwa mazishi. Katika shughuli hizo za kuaga, Mchungaji Mwaiposa aliwaombea wasanii kwa kukemea roho za…

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

11 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine

Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.

Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAJITONGOZESHA KWA DIAMOND

Stori: Chande Abdallah na Gladness Mallya KUMBE! Aliyejipachika kuwa dada wa hiyari wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni zao la Shindano la Kimwana Manywele, Halima Haruna ‘Kimwana’ amefungukia ishu ya mastaa kibao kujitongozesha wenyewe kwa jamaa huyo. Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na dada yake wa hiyari, Halima Kimwana. Halima Kimwana alielezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani