Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: Imenisikitisha kuzushiwa kifo

Muigizaji wakike  wa Filamu hapa nchini, Wastara Sajuki amesikitishwa na taarifa za uongo zilizo enea nchini Burundi kuwa alishafariki kwa ajali ya gari. Kupitia ukurasa wake wa matandao wa INSTAGRAM muigizaji huyo  ambaye aliondoka hapa nchini juzi kuelekea nchini humo kizazi, mbali na kuonekana mwenye furaha kwa picha alizoziweka kwenye ukurasa huo akiwa sehemu za ufukweni (Baadhi ya picha kama unavyoziona hapo chini), Wastara alikutana na mashabiki wake na taarifa za kuwa walidhani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuzushiwa kifo,Hussein Machozi asema ameamini thamani ya msanii huonekana akishafariki dunia.

Msanii wa Bongo Fleva,Hussein Machozi amefunguka na kusikitishwa na habari zilizoenea kuwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari mkoani Dodoma.

Alisema kuwa tangu habari hizo kuenea siku ya jana amekuwa akipigiwa sana simu na watu tofautitofauti wakimuuliza kama mzima wa afya. ‘’Jana nilikuwa nimezima simu kwa muda mrefu nilikuwa nimeenda mazoezini baada ya kurudi nilipowasha tu simu ziliingia kama mvua kilichonishangaza wengi walikuwa wakipiga wakisikia sauti yangu wanakata...

 

10 years ago

Bongo5

Macaulay Culkin (Kevin) wa ‘Home Alone’ athibitisha kuwa yupo hai baada ya kuzushiwa kifo weekend iliyopita

Muigizaji na mwanamuziki Macaulay Culkin (34) aliyepata umaarufu kupitia filamu ya ‘Home Alone’ aliyoigiza enzi za udogo wake kama Kevin, amezizika tetesi zilizoibuka weekend iliyopita kuwa amefariki dunia. Picha ya Culkin aliyopost Instagram kuthibitisha yupo hai Culkin ametumia mitandao ya kijamii kuthibitisha kuwa bado yupo hai na ni mzima. Taarifa hizo za uzushi zilianzia Facebook […]

 

11 years ago

GPL

WASTARA ASUMBULIWA NA ROHO YA KIFO

Wastara Juma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
OOOH! Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu Bongo, Wastara Juma kunusurika kifo baada ya kudaiwa kunywa sumu na baadaye kupata ajali, anadaiwa kusumbuliwa na roho wa kifo. Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wastara aliweka picha za wasanii mbalimbali huku akimwelezea kila mmoja alivyo na mwishoni mwa maelezo hayo alimalizia kwa kusema...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani