‘MISS’ AANGUKA, AZIMIA AKOMBWA KILA KITU
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTpfQI4r8jClHDlzQ50poM*D-NYORtnQOZOV16eN18Y*dedm5eSHS3*gi9D5P-nTA-gVjvd8y1xljSgCF0rU9Ec/mss.jpg?width=650)
Stori: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA, Mwanza Ama kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu vyake vyote. Kwa mujibu wa mashuhuda, mrembo huyo ambaye alikuwa katika mishemishe za kawaida alidondoka ghafla akiwa Mitaa ya Nyakato jijini hapa mbele ya kituo cha polisi, Januari 4,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies15 Sep
Kisa Pombe; Johari Azima, Akombwa Kila Kitu
Kisa pombe! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kupiga mitungi hadi akazima kisha kukombwa mkoba uliokuwa na kila kitu zikiwemo fedha taslimu Sh. 285,000/= na simu ya ‘tachi’ ya bei mbaya.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa njia ya simu akiwa mkoani Tabora ambako Johari na baadhi ya mastaa wengine wapo kwa kazi maalum, mmoja wa wasanii hao alitonya kuwa tukio hilo lilijiri Alhamisi usiku, wakati wakiwa wanagida pombe, jambo lililozua taharuki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoa-AbXZBShdUB1CPoCoOO0duzXL7rdRyZrRIKmSrfw8HdlVBhp1y10ghB1H8nfCKe0yH*gGnawnoUYrAJV-gQ0O/FRONTAMANI.jpg?width=650)
FLORA AKOMBA KILA KITU
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ngeleja: Hatupingi kila kitu
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYB7ii1KWGetsvh4LjImGstyzkAVLzZDGY489OtJkNGxw*YH9eZyOySQDSZvSiDhGwZE0TMXwxcEcK3C3UFw9eYv/mahaba.jpg?width=650)
HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Kenya sasa kila kitu ni Obama
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO67V0BjMHP*9oeFk18PTfX7desmoE4xJONZHQOJIzgEdk9v0k1Ex75c7AhXk0SKTe3NlgmldAFu31W9hyGdujmC/mahaba.jpg?width=650)
HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA! - 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzfuMLZOXzM8bfRucbqBlMl3jB124fNproCEdjHXpHfjXxGUJFrL6DcGxx1wuY7ePJAyAVpXr2fhWs5k9iBv5FDm/Johari.jpg)
JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!