Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND

Na Imelda Mtema
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac  Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film Production na aliyekuwa mpenzi wake, Clement ‘kigogo wa ikulu’ na sasa amebaki mweupe,  Amani limepakuliwa ikiwa imeiva. Wema Isaac  Sepetu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo la aibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DIAMOND: NINA HOFU YA KUNYANG'ANYWA TIFFAH

Musa mateja Kazi ipo! ‘Kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amekumbwa na hofu ya kunyang’anywa mwanaye anayemuita malkia, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ baada ya mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka naye kwenda kwao nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’. Habari kutoka ndani ya familia ya staa huyo zilieleza kwamba, wikiendi iliyopita...

 

9 years ago

GPL

NAY ANYANG’ANYWA SHAMSA FORD

Musa mateja Gundu? Miezi kadhaa baada ya kumwagana na mzazi mwenziye Siwema Edson baada ya kumfuma na ‘kiserengeti boy’, staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anadaiwa kunyang’anywa tena mrembo wake wa Bongo Movies, Shamsa Ford na kibabu anayedaiwa kumnunulia mwanadada huyo gari aina ya Toyota Noah.  .....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Jb8szx ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kisa Pombe; Johari Azima, Akombwa Kila Kitu

Kisa pombe! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kupiga mitungi hadi akazima kisha kukombwa mkoba uliokuwa na kila kitu zikiwemo fedha taslimu Sh. 285,000/= na simu ya ‘tachi’ ya bei mbaya.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa njia ya simu akiwa mkoani Tabora ambako Johari na baadhi ya mastaa wengine wapo kwa kazi maalum, mmoja wa wasanii hao alitonya kuwa tukio hilo lilijiri Alhamisi usiku, wakati wakiwa wanagida pombe, jambo lililozua taharuki...

 

10 years ago

Vijimambo

VAN PERSIE ANYANG'ANYWA UPIGAJI PENATI MAN U-BBC

Louis Van GaalVan Persie
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amempokonya mshambuliaji wa kilabu hiyo Robin Van Persie haki za kupiga mkwaju wa penalti baada ya kukosa mkwaju kama huo katika mechi dhidi West Brom.

Alipoulizwa iwapo Van Persie angeendelea kama mchezaji aliyeorodheshwa kupiga penalti kwa niaba ya kilabu hiyo alijibu ''hapana,amefika mwisho wake.Kila mara anarejelea makosa hayo hayo aliongezea''.

''Wayne Rooney pia amekosa mkwaju wa penalti na unapokosa mkwaju...

 

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WANADAIWA KUFANYIANA 'TIMINGI' YA KUMWAGANA!

Diamond..Mh! Upepo mbaya unaivumia kapo ya mafahari wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo wanadaiwa kufanyiana ‘taimingi’ ya kumwagana, Ijumaa Wikienda linakupa ‘ubuyu’ kamili. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu makini, wawili hao wamepotezeana kwa muda mrefu huku kila mmoja...

 

11 years ago

GPL

KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA

Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...

 

10 years ago

GPL

WEMA AWA MBOGO KISA DIAMOND

Stori: Imelda Mtema/ijumaawikienda STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Staa wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu. Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Awa Mbogo Kisa Kutajiwa Diamond

Vijimambo:Mrembo na staa wa Bongo Movie asiyekaukiwa na visa na mikasa, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia,...

 

10 years ago

GPL

WEMA AANIKA KISA CHA KUMMWAGA DIAMOND

Na Musa Mateja MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Miss Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akipozi.. Akizungumza na Amani katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani