Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WANAOVUTA GUNDI WAZIDI KUSHAMIRI DODOMA, WANANCHI WAFUNGUKA


Charles James, Michuzi Globu

PAMOJA na Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi lakini bado idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya aina ya gundi imezidi kuwa tatizo kwa wananchi wa jiji hilo.

Vijana hao wamekua wakishinda na kuzagaa katikati ya Jiji maeneo ya viwanja vya Nyerere ambapo wamekua wakicheza kamari, kusumbua wananchi wanaopita, wanafunzi na zaidi wakivuta gundi hadharani.

Globu ya Jamii imefanya uchunguzi wake na kugundua kuwa umri wa vijana hao ni kuanzia miaka tisa hadi 21 na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wananchi Monduli wafunguka

?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????NA ELIYA MBONEA, MONDULI
BAADHI ya wananchi wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, wamezungumzia hatua ya Mbunge wao, Edward Lowassa, kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya urais, wakisema kuwa anatosha.
Kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameliambia MTANZANIA Jumamosi kuwa wapo nyuma ya kiongozi huyo na wataendelea kumuombea kwa Mungu ili achaguliwe na hatimaye kuwa Rais wa Tanzania mara baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Mkazi wa Dukabovu...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI DAR WAZIDI KUIPOKEA SIMU DOCTOR

Mfanyakazi wa Global Publishers, Jimmy Haroub (kushoto) akiwaelekeza wakazi wa eneo la Buguruni, Dar namna ya kujiunga na huduma ya Simu Doctor kupitia mtandao wa simu ya Vodacom. Wafanyakazi wa Global, Jimmy Haroub na Robert Tillya (waliosimama) wakiwaelekeza wakazi wa maeneo ya Mtongani, Dar namna ya kujiunga na Simu Doctor.…

 

9 years ago

StarTV

Hali bado tete UKAWA Vijana zaidi wazidi kuhama-Tabora.

 

Siku chache mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dokta Wilbroad Slaa Kujiuzulu na kuamua kuachana na siasa kutokana na kutokuridhishwa na utendaji ndani ya chama hicho baadhi ya vijana wamezidi kukihama chama hicho jambo ambalo linadaiwa kukidhoofisha chama hicho.

Baadhi ya vijana mjini Tabora waliokuwa wanachama wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA wameandamana hadi ofisi ya CCM Wilaya na kudai wanajiunga na chama hicho baada...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wazidi kuchukua fomu za Ubunge, sasa ni Dkt. Walter Nnko

JOTO la Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, limepanda kwa kila rika la wazee, vijana , na akina mama, ambapo kila mmoja amekuwa anatazama Jimbo la kugombea kupitia chama anachokiamini katika ngazi ya Udiwani na Ubunge. Walter Nnko ni Daktari mzalendo na kamanda wa vijana kondo/kunduchi.
 Dr. Walter Nnko amechukuwa fomu ya ubunge jimbo la kawe na muda ukifika atawaomba wanachama wa CCM wampe ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi wa kumi...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA

10Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha mada kuhusu vijana na mitandao ya kijamii katika mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.2Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Uratibu, Bibi. Esther Riwa akiwasilisha mada ya ujasiriamali wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri ‘mizigo’ wazidi kukabwa koo bungeni Dodoma

Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika.

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani