Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Monduli wafunguka

?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????NA ELIYA MBONEA, MONDULI
BAADHI ya wananchi wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, wamezungumzia hatua ya Mbunge wao, Edward Lowassa, kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya urais, wakisema kuwa anatosha.
Kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameliambia MTANZANIA Jumamosi kuwa wapo nyuma ya kiongozi huyo na wataendelea kumuombea kwa Mungu ili achaguliwe na hatimaye kuwa Rais wa Tanzania mara baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Mkazi wa Dukabovu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WANAOVUTA GUNDI WAZIDI KUSHAMIRI DODOMA, WANANCHI WAFUNGUKA


Charles James, Michuzi Globu

PAMOJA na Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi lakini bado idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya aina ya gundi imezidi kuwa tatizo kwa wananchi wa jiji hilo.

Vijana hao wamekua wakishinda na kuzagaa katikati ya Jiji maeneo ya viwanja vya Nyerere ambapo wamekua wakicheza kamari, kusumbua wananchi wanaopita, wanafunzi na zaidi wakivuta gundi hadharani.

Globu ya Jamii imefanya uchunguzi wake na kugundua kuwa umri wa vijana hao ni kuanzia miaka tisa hadi 21 na...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATUA "NYUMBANI" NA KUHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI HUKO MONDULI NA MTO WA MBU NA BABATI MJINI

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Monduli wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 2, 2015.Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha,...

 

5 years ago

CCM Blog

LOWASSA, MKEWE MIONGONI MWA WANANCHI MONDULI WALIOMDHAMINI RAIS MAGUFULI KUWANIA URAIS 2020

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliomdhamini Rais Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

11 years ago

Mwananchi

Walionunua IPTL wafunguka

Wiki iliyopita gazeti hili liliandika kwamba fedha hizo zilitolewa baada ya Serikali kuamua kumaliza shauri hilo na hapo ndipo fedha hizo zilipochukuliwa katika akaunti hiyo na PAP.

 

10 years ago

Mtanzania

Waliojitoa mhanga IPTL wafunguka

mtanzania011214Na Fredy AZZAH

KUHITIMISHWA kwa mjadala wa kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow bungeni, kumeacha taifa na baadhi ya watu wanaoweza kujipambanua kuwa vinara wa kupinga wizi na wengine wakiwa kwenye mtandao wa kuutetea.

Hatua hiyo ilijidhihirisha kwenye mjadala wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), iliyowasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

Baadhi ya wabunge waliosimamia kuchukuliwa hatua kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani