Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura ya siri yaweka Bunge njiapanda

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoKIFUNGU cha kura ya siri katika Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, kimeliweka Bunge njia panda baada ya wajumbe bila kujali vyama na makundi, kugawanyika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri ama la? ‘Amueni wenyewe,’ Mahalu awaambia wajumbe #Bunge la #Katiba [VIDEO]

>Swali la njia muafaka ya kupiga kura limewagawa vilivyo wajumbe wiki hii, huku vikao vikitawaliwa na mabishano makali kati ya wanaotaka kura ya siri, na wanaotaka uwazi.

 

10 years ago

Vijimambo

kura ya maoni njiapanda

Dodoma/Dar. Rais Jakaya Kikwete jana alipokea Katiba inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, na papo hapo kurejesha mpira kwa viongozi wa Serikali kutafuta njia za kukamilisha mchakato huo.Bunge la Katiba lilikamilisha kazi yake ya kuandika Katiba mpya Oktoba 2 kwa kukamilisha upigaji wa kura za kupitisha Rasimu ya Katiba ambayo ilitakiwa ipitishwe kwa theluthi mbili ya kura kutoka kila upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mchakato huo wa kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete aiweka kura ya maoni njiapanda

 Rais Jakaya Kikwete jana alipokea Katiba inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, na papo hapo kurejesha mpira kwa viongozi wa Serikali kutafuta njia za kukamilisha mchakato huo.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA : Kura tatu zawaweka njiapanda Wazanzibari

Wananchi wa Zanzibar wapo katika matayarisho ya kupiga kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa baada ya Bunge la Katiba kukamilisha majukumu yake Oktoba mwaka huu na kubakia kura ya maoni mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaweka kizingiti kingine Kura ya Maoni

>Wakati Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  akisubiri Sheria ya Kura ya Maoni iwasilishwe kwenye chombo hicho Machi kwa ajili ya kuridhiwa, CUF imesema haipo tayari kuhalalisha sheria yoyote itakayotumika kupitisha Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuUPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani