MAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DKT. SLAA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda kwa dhati, ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbrod Slaa,amesema kuwa ni kiongozi imara asiyependa kuyumbshwa na kwamba ni kiongozi anayeweza kuwa na msimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania.Umati wa Washabiki na wafuasi wa CCM waliokusanyika katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Dk John Magufuli ammwagia sifa Dk Slaa Karatu
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa
NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.
Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AITEKA HANANG,AIBOMOA NGOME YA CHADEMA MKOANI MANYARA.
Hatua hiyo ya kumhoji ilifikiwa baada Kiongozi huyo kuuliza swali kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Kijiji cha...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Msajili: Mbowe, Dk Slaa hawana sifa kugombea tena Chadema
10 years ago
VijimamboDkt. Magufuli apata wadhamini lukuki Mkoani Dodoma
11 years ago
Mwananchi03 Feb
JK ammwagia sifa Kinana
10 years ago
Vijimambo27 Mar
Kagame ammwagia sifa Kikwete
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Kerr ammwagia sifa Kiiza
KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema mshambuliaji wake, Hamisi Kiiza ni aina ya wachezaji ambao ukiwa nao uwanjani unajua wakati wowote utafurahi.