Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ammwagia sifa Kinana

>Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemmwagia sifa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana akisema amefanya kazi nzuri kwa kuwafikisha mawaziri wanne kwenye Kamati Kuu baada ya kubaini matatizo yanayohusu sekta zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kinana ammwagia sifa Lowassa

Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemmwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa ni miongoni mwa viongozi waliotekeleza kikamilifu ilani ya chama hicho.
Kinana ambaye yupo mkoani Arusha kwa ziara ya chama hicho ya siku tisa, aliyasema hayo yeye na msafara wake alipopokewa katika Kata ya Makuyuni Wilaya ya Monduli.
“Napenda kumpongeza mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu kwa kazi kubwa ya maendeleo aliyoifanya katika jimbo...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ammwagia sifa Mama Salma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amempongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete kwa juhudi za kusaidia na kuinua wanawake.

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm ammwagia sifa Bossou

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Van Pluijm ametamka kwamba beki mpya wa klabu hiyo kutoka Togo Vincent Bossou ni mchezaji mwenye kiwango cha kimataifa.

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ammwagia sifa Kiiza

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema mshambuliaji wake, Hamisi Kiiza ni aina ya wachezaji ambao ukiwa nao uwanjani unajua wakati wowote utafurahi.

 

10 years ago

Vijimambo

Kagame ammwagia sifa Kikwete

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakiteta jambo wakati wa mkutano uliowakutanisha viongozi wa nchi sita. Picha na Venance Nestory
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ammwagia sifa Peter Msigwa

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemwagia sifa mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akisema amekuwa kiongozi wa kwanza kuchangia vitanda 30 katika Hospitali ya Frelimo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa

MTZ2NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.

Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hodgson ammwagia sifa kemkem Rooney

Roy Hodgson amesifu ukuaji wa Rooney kisoka wakati kabla ya kushuka dimbani kuchuana na Slovenia

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa ammwagia sifa Rais Kikwete

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anawania kuchaguliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemwagia sifa Rais, Dk Jakaya Kikwete kwa kuliongoza Taifa vizuri huku likiwa bado na amani na utulivu mkubwa wakati akielekea kumaliza muda wake wa kuliongoza Taifa kwa vipindi viwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani