Lowassa ammwagia sifa Rais Kikwete
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anawania kuchaguliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemwagia sifa Rais, Dk Jakaya Kikwete kwa kuliongoza Taifa vizuri huku likiwa bado na amani na utulivu mkubwa wakati akielekea kumaliza muda wake wa kuliongoza Taifa kwa vipindi viwili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Rais Kikwete ammwagia sifa kibao Diamond Platinumz
10 years ago
Habarileo03 Jul
Kikwete ammwagia sifa Rais Kagame kwa kujenga umoja
RAIS Jakaya Kikwete amemsifu kiongozi wa Rwanda, Rais Paul Kagame kwa mafanikio yake makubwa katika kuifanya nchi yake iwe mfano wa kuigwa katika kujenga umoja wa kitaifa pamoja na kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo muda mfupi tu baada ya nchi hiyo kuathirika vibaya kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mauaji ya kimbari.
“Ninampongeza Rais Kagame kwa jitihada zake zenye mafanikio makubwa katika kuijenga upya nchi ya Rwanda na kuweza kutengeneza taifa moja lililoweza...
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Kinana ammwagia sifa Lowassa
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemmwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa ni miongoni mwa viongozi waliotekeleza kikamilifu ilani ya chama hicho.
Kinana ambaye yupo mkoani Arusha kwa ziara ya chama hicho ya siku tisa, aliyasema hayo yeye na msafara wake alipopokewa katika Kata ya Makuyuni Wilaya ya Monduli.
“Napenda kumpongeza mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu kwa kazi kubwa ya maendeleo aliyoifanya katika jimbo...
10 years ago
Vijimambo27 Mar
Kagame ammwagia sifa Kikwete
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2667114/highRes/978092/-/maxw/600/-/136rpgrz/-/JK_Kagame.jpg)
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
USHIRIKIANO: Kagame ammwagia sifa Kikwete
11 years ago
Mwananchi03 Feb
JK ammwagia sifa Kinana
9 years ago
Habarileo18 Aug
Pluijm ammwagia sifa Bossou
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Van Pluijm ametamka kwamba beki mpya wa klabu hiyo kutoka Togo Vincent Bossou ni mchezaji mwenye kiwango cha kimataifa.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Kerr ammwagia sifa Kiiza
KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema mshambuliaji wake, Hamisi Kiiza ni aina ya wachezaji ambao ukiwa nao uwanjani unajua wakati wowote utafurahi.
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Hodgson ammwagia sifa kemkem Rooney