Rais Kikwete ammwagia sifa kibao Diamond Platinumz
Mwanamuziki, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ jana aliziteka nyoyo za wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maadhimisho ya miaka 38 ya kuanzishwa kwa chama hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo524 Nov
Diamond awapoteza P-Square, Waje ammwagia sifa kibao!
10 years ago
Habarileo29 Jun
Lowassa ammwagia sifa Rais Kikwete
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anawania kuchaguliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemwagia sifa Rais, Dk Jakaya Kikwete kwa kuliongoza Taifa vizuri huku likiwa bado na amani na utulivu mkubwa wakati akielekea kumaliza muda wake wa kuliongoza Taifa kwa vipindi viwili.
10 years ago
Habarileo03 Jul
Kikwete ammwagia sifa Rais Kagame kwa kujenga umoja
RAIS Jakaya Kikwete amemsifu kiongozi wa Rwanda, Rais Paul Kagame kwa mafanikio yake makubwa katika kuifanya nchi yake iwe mfano wa kuigwa katika kujenga umoja wa kitaifa pamoja na kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo muda mfupi tu baada ya nchi hiyo kuathirika vibaya kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mauaji ya kimbari.
“Ninampongeza Rais Kagame kwa jitihada zake zenye mafanikio makubwa katika kuijenga upya nchi ya Rwanda na kuweza kutengeneza taifa moja lililoweza...
10 years ago
Vijimambo27 Mar
Kagame ammwagia sifa Kikwete
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2667114/highRes/978092/-/maxw/600/-/136rpgrz/-/JK_Kagame.jpg)
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
USHIRIKIANO: Kagame ammwagia sifa Kikwete
10 years ago
Vijimambo25 Dec
RAIS KIKWETE AWAPONGEZA DIAMOND NA IDRIS SULTAN KWA KUILETEA SIFA TANZANIA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fblog.ikulu.go.tz%2Fwp-content%2Fuploads%2F2014%2F12%2Funnamed-11.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fblog.ikulu.go.tz%2Fwp-content%2Fuploads%2F2014%2F12%2Funnamed-41.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rais Kikwete akutana na msanii Nassib Abdul ‘Diamond’ Ikulu, awapongeza yeye na Idris Sultan kwa kuiletea sifa Tanzania
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba 23, 2014 . Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan hakuweza kufika Ikulu kuonana na Rais Kikwete siku hii.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Nassib Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
JK ammwagia sifa Kinana
9 years ago
Habarileo18 Aug
Pluijm ammwagia sifa Bossou
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Van Pluijm ametamka kwamba beki mpya wa klabu hiyo kutoka Togo Vincent Bossou ni mchezaji mwenye kiwango cha kimataifa.