Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AWAPONGEZA DIAMOND NA IDRIS SULTAN KWA KUILETEA SIFA TANZANIA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba 23, 2014 . Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan hakuweza kufika Ikulu kuonana na Rais Kikwete siku hii. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Nassib Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na msanii Nassib Abdul ‘Diamond’ Ikulu, awapongeza yeye na Idris Sultan kwa kuiletea sifa Tanzania

unnamed-11

 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na  kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba 23, 2014 . Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan hakuweza kufika Ikulu kuonana na Rais Kikwete siku hii.

unnamed-41

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Nassib Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya  tuzo tano za...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA MSANII NASSIB ABDUL ‘DIAMOND’ IKULU, AWAPONGEZA YEYE NA IDRIS SULTAN KWA KUILETEA SIFA TANZANIA

unnamed-1Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond”  na  kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba 23, 2014 . Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan hakuweza kufika Ikulu kuonana na Rais Kikwete siku hii. 
unnamed-4Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Nassib Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya  tuzo tano za muziki...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wakili: Idris Sultan anahojiwa kwa 'kuicheka picha ya rais Magufuli'

Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, IDRIS SULTAN NDANI YA DAR LIVE

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akiwasili katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live sambamba na mshindi wa BBA, Idris Sultan. Diamond ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ammwagia sifa kibao Diamond Platinumz

Mwanamuziki, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ jana aliziteka nyoyo za wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maadhimisho ya miaka 38 ya kuanzishwa kwa chama hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.

 

10 years ago

GPL

IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

mu1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).

muh2

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots

Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Idris Sultan ashitakiwa kwa kutumia namba ya simu isiyosajiliwa kwa jina lake

Msanii huyo alikamatwa Jumanne wiki iliyopita baada ya kujisalimisha kituo cha polisi jiji Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani