Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu atikisa serikali

MAKOMBORA ya maneno yaliyokuwa yakitolewa na msemaji wa taarifa ya wachache bungeni, Tundu Lissu, juu ya muundo wa muungano, na kutokuwapo kwa Hati za Muungano kumetikisa serikali ambayo sasa imeamua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu aishika serikali uchuku

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) amesema Waziri Mkuu Mizengo Pinda hakusema ukweli Bungeni. Akichangia mjadala wa hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa mwaka huu...

 

5 years ago

Michuzi

WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU

WADHAMINI wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed na Robart Katula wamefungua maombi  katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itolewe amri ya kukamatwa kwa mshtakiwa huyo kwa kuwa wao wameshindwa kumpata.
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Elekezeni nguvu zenu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa- Tindu Lissu

Lissu pics

Mbunge Tundu Lissu, Singida Mashariki

Na Nathaniel Limu, Ikungi

MBUNGE wa Jimbo la Singida mashariki kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amewataka wananchama wa chama hicho kata ya Iseke tarafa ya Ihanja wasibweteke na ushindi wa udiwani walioupata katikati ya mwaka jana, na badala yake waelekeze nguvu zao zote kwenye uchanguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.

Amesema ushindi huo utakuwa na maana zaidi endapo CHADEMA itazoa nafasi zote za uenyeviti wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Slaa atikisa

WAKATI aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akisisitiza kuwa uamuzi wake wa kustaafu siasa upo pale pale, kujiuzulu kwake ghafla kumezua gumzo nchi nzima na kuwafanya wananchi wengine kushindwa kuamini walichokisikia.

Uamuzi wa Dk. Slaa kuacha madaraka ndani ya Chadema na kupumzika siasa uliwekwa hadharani jana na gazeti hili ikiwa ni siku moja tu tangu viongozi wa chama hicho kumkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Obama atikisa msibani

Licha ya kuwa ni siku ya huzuni kwa dunia nzima, hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama imewagusa maelfu ya watu waliokuwa kwenye Uwanja wa FNB katika ibada ya kitaifa kumwaga Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ATIKISA IGUNGA

Mgombea urais wa CCM, Dk. John pombe Magufuli akihutubia wananchi katika mkutano wa Kampeni leo mjini Igunga, Tabora. Mgombea urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni mjini…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atikisa Bunge

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Magufuli atikisa Geita

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameendelea kuahidi kutowaangusha Watanzania atakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi.

 Dk. Magufuli aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wananchi mjini hapa kabla ya kuelekea jimboni kwake Chato, mkoani Geita.

“Jamani nashukuru sana, nashukuru sana kwa umati huu uliojitokeza kunipokea, kwa kweli sijapata mapokezi makubwa kama haya sehemu zote nilizopita, nawaahidi kuwa sitawaangusha na muda wa kampeni ukifika,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani