Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THEA, MIKE SASA MAHABA NIUE!

Stori: Musa Mateja
Ndoa ya mastaa wa filamu Bongo, Mike Sangu na Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ inaonekana kurudi na nguvu ya aina yake baada ya wawili hao hivi karibuni kunaswa wakidhihirisha kwamba, licha ya yanayotokea, wanapendana kinomanoma. Mike Sangu akimlisha chakula mkewe kwa mahaba. Hivi karibuni wanandoa hao walinaswa kwenye mnuso ulioandaliwa na msanii mwenzao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

11 years ago

GPL

THEA, MIKE WARUDIANA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
WASANII wawili nyota wa filamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na Michael Sangu ambao awali walitengana kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, hatimaye wamerudiana. Thea na Mike katika pozi. Kikizungumza na gazeti hili, chanzo makini kutoka ndani ya familia hiyo kilisema wanandoa hao wamerudiana baada ya kupatanishwa na viongozi wa dini na familia zao, wakitelekeza viapo vyao...

 

10 years ago

GPL

MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA

Na Mwandishi Wetu MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto. Staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ akiwa na mwandani wake, DJ Hunter. Kudhihirisha hilo, chanzo chetu kimevujisha picha za mrembo huyo akiwa na mchumba wake anayefahamika kwa jina moja la DJ Hunter...

 

10 years ago

GPL

WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!

WAANDISHI WETU
WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...

 

9 years ago

Bongo Movies

Diamond, Kajala Mahaba Niue!

NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa,  staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi limesheheni full stori.

TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala  unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Pasha — Mahaba Niue

Video mpya kutoka kwa Pasha wimbo unaitwa “Mahaba Niue” video imeongozwa na Allen Massala

 

11 years ago

GPL

SNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE

STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi anaonekana kugandwa na mahaba niue baada ya hivi karibuni kuanika hisia zake na kuonesha dhahiri kuwa amezama vilivyo kwenye penzi motomoto la jamaa yake aitwaye Hunter Sleiyum.  Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Snura aliwataka wanaume wakware waache kumsumbua kwa sababu...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA

Stori:  Hamida Hassan
NDOA ya mastaa wa filamu Bongo, Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ iliripotiwa kuvunjika siku chache zilizopita lakini taarifa zilizotufikia zinadai kuwa, wawili hao muda si mrefu watakuwa mwili mmoja tena. Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’. Chanzo chetu cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, uwezekano wa...

 

11 years ago

GPL

MIKE AMBADILISHA JINA THEA

Na Rhoda Josiah STAA wa filamu za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’ amembadilisha mkewe jina kutoka lile lililozoeleka la Ndumbwagwe Misayo ‘Thea’ na kuitwa Salome Urasa Sangu. Staa wa filamu za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’ akiwa na mke wake Thea. Akipiga stori na mwandishi wa Amani, Thea alisema ameridhia kubadilisha jina kwa kukubaliana na mume wake kwa sababu anampenda na hajafikiria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani